Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Exactly, na ukiwa nazo utapewa hadi vya uvunguni wakati wale mabahiri wanafanya kuonjeshwa tu 🤸🏃🏃100% mikono mtupu haulambwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly, na ukiwa nazo utapewa hadi vya uvunguni wakati wale mabahiri wanafanya kuonjeshwa tu 🤸🏃🏃100% mikono mtupu haulambwi
Huyo ni mwendo wa dollar babu, ashacheza na kila aina ya mitulinga.....You are firing me as who? Jokate au??😂😂.
Napeleka msingi kiuno, mwendo wa kusimamia ukucha mpaka mheshimiwa adate😂
Na hupewi gizani,wapewa nuruni ili uone vizuri unapoiwekaExactly, na ukiwa nazo utapewa hadi vya uvunguni wakati wale mabahiri wanafanya kuonjeshwa tu 🤸🏃🏃
hivi si alitaka kumuoa mzee machache?Kuta zinaficha mengi na haiba ya nje inaweza kukinzana na yaliyo ndani.
Kwa hali ya kawaida alipaswa kuwa dream woman wa wengi, ila cha ajabu mahusiano yake huwa yanaishia kuachwa kimya kimya na wahusika kubaki na jibu la 'no comment'.
Anyways subiri nitupiemo karata zangu, nikifanikiwa nitaleta mrejesho wa yaliyomo kama yamo.
🤣😅HAWAKOSI UKIMWI HAWA VIUMBE. MIDA MINGINE NAHISI KAMA MAJINI.
Sio busara kupata hao wanaume wa maana nayo bahati kama unavyosema Mungu hakupi vyoteMungu hakupi vyote na moja alilonyimwa Bi. Kidoti ni busara ya kuchagua wanaume.
Alisha date na Diamond ambapo aliishia kudhalilishwa, alidate na Kiba napo aliishia kuaibishwa mitandaoni tu kuwa anajipendekeza, akaenda kwa Mkinga misifa napo zero.
Kwa level aliyofikia inabidi atafute mtu mzima mwenye pesa zake asiekuwa na maisha ya social media, sio hawa wauza sura.
Mimi ningemfaa sana maana nimekidhi vigezo vyote isipokuwa cha pesa. Na nipo tayari tutumie za kwake😜😜, mimi ni kumpenda tu.
Yaani Jokate nae......puuuuu!Maokoto ila kwa stress anazopata aaaihh alijishusha sana kuwa na huyu mtu, kutwa yupo na vimalaya vichafu vichafu,
😀😀😀😀Kuna Mmoja hapo ukiniambia 100% hana UKIMWI tokea mwaka 2011 nakunya / naukweka Mbashara Kampala hadi Dar es Salaam.
Na huyo uliyemtaja kuwa Kamla kwa tunaomjua ni kwamba kama akikupitia / akikukula basi anza kujiandaa kuyaanza Maisha mapya ya kuishi kwa matumaini kwani Yeye alishayaanza Siku nyingi mno.Yule dem zzk aliwahi kumla , walipoachana akasema jamaa nguvu kidogo , yule ni malaya kama malaya wengine tu, halafu huyo dogo alivamia mji amebaki kubeba videm ili atrend mjini
Yawezekana hao Wengine anawachukia kwakuwa walikuwa ni Wadau wa Chama changu cha kupenda kupita Vumbi Road na siyo Lami Road kuliko zoeleka na Wengi.Sijaelewa kitu hapa..
Kwamba diva kazaa na fred watoto watano?
Sasa hao wanaume wengine walikua wanamtia lini au ni hukohuko katikati ya hao watoto watano?
Manake watoto watano tunazungumzia mahusiano ya miaka 10+
Kumekucha.... Kudadadeki.Mungu hakupi vyote na moja alilonyimwa Bi. Kidoti ni busara ya kuchagua wanaume.
Alisha date na Diamond ambapo aliishia kudhalilishwa, alidate na Kiba napo aliishia kuaibishwa mitandaoni tu kuwa anajipendekeza, akaenda kwa Mkinga misifa napo zero.
Kwa level aliyofikia inabidi atafute mtu mzima mwenye pesa zake asiekuwa na maisha ya social media, sio hawa wauza sura.
Mimi ningemfaa sana maana nimekidhi vigezo vyote isipokuwa cha pesa. Na nipo tayari tutumie za kwake😜😜, mimi ni kumpenda tu.
Kwahiyo anasema hivyo ili iweje?Kuna mahala kasema hajawahi Kukazwa / Kubanduliwa / Kutiwa vizuri kama Fred Vunjabei anamvyomsokomezea nao Wote sasa.
Diva yupi? yule wa mganga?@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.
Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.
Ameyazungumza haya wakati anatambulishwa kuwa balozi mpya wa #LuhaTravel
Chanzo Taarifa: manaratv
Manake kwa jinsi alivyokusifia huku akiwaponda Wanaume zake wote wasio na Idadi waliomtia nahisi kuna la ziada.
🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai
Tangu lini Mwanaume anayetoa hela nyingi akabezwa
Hata kama atakuwa anamkaza kimoja chali lakini atasifiwa kwenye makamera, wakati behind the scenes kuna Mwamba anampelekea moto ile ile 🙌
Ana miaka 45 hana mtoto hata mmoja,so hapo anaongea maruweruwe..mpuuzieSijaelewa kitu hapa..
Kwamba diva kazaa na fred watoto watano?
Sasa hao wanaume wengine walikua wanamtia lini au ni hukohuko katikati ya hao watoto watano?
Manake watoto watano tunazungumzia mahusiano ya miaka 10+
Na wadai mganga ni mtaalamu wa mahaba kuanzia kuchombeza mpaka kusokomeza na ndumba kwa mbali...sasa kwa Diva zimedunda😅🤣🤣🤣🤣🤣
Yule mganga alikuwa hamkuni haswaa??
😂😂😂😂
Kinachowaridhisha wadada ni pesa. Nimeamini