Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

hivi si alitaka kumuoa mzee machache?
huyo katibu wa wamama aliwahi kuwa demu wa machache, iliposhindikana kuoa ndipo machache akaenda kwa klyn
 
Sio busara kupata hao wanaume wa maana nayo bahati kama unavyosema Mungu hakupi vyote
 
Yule dem zzk aliwahi kumla , walipoachana akasema jamaa nguvu kidogo , yule ni malaya kama malaya wengine tu, halafu huyo dogo alivamia mji amebaki kubeba videm ili atrend mjini
Na huyo uliyemtaja kuwa Kamla kwa tunaomjua ni kwamba kama akikupitia / akikukula basi anza kujiandaa kuyaanza Maisha mapya ya kuishi kwa matumaini kwani Yeye alishayaanza Siku nyingi mno.
 
Sijaelewa kitu hapa..
Kwamba diva kazaa na fred watoto watano?

Sasa hao wanaume wengine walikua wanamtia lini au ni hukohuko katikati ya hao watoto watano?

Manake watoto watano tunazungumzia mahusiano ya miaka 10+
Yawezekana hao Wengine anawachukia kwakuwa walikuwa ni Wadau wa Chama changu cha kupenda kupita Vumbi Road na siyo Lami Road kuliko zoeleka na Wengi.
 
Kumekucha.... Kudadadeki.
 
Diva yupi? yule wa mganga?
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai

Tangu lini Mwanaume anayetoa hela nyingi akabezwa

Hata kama atakuwa anamkaza kimoja chali lakini atasifiwa kwenye makamera, wakati behind the scenes kuna Mwamba anampelekea moto ile ile πŸ™Œ
🀣🀣🀣🀣🀣

Yule mganga alikuwa hamkuni haswaa??

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kinachowaridhisha wadada ni pesa. Nimeamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…