Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

Labda ni mambo ya kibiashara zaidi, hivi hawa watu maarufu hawaonagi pisi kali huko mtandanoni??

Wanachukuaga wachovu wachovu tu, chuma kinasoma miles kibao.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Yule mganga alikuwa hamkuni haswaa??

😂😂😂😂

Kinachowaridhisha wadada ni pesa. Nimeamini
Usikute tofauti yao sio namna ya kukuna, isipokuwa Ukubwa wa Kibunda

Mwenye kibunda kikubwa ndiyo ataonekana mtaalamu wa kukuna...
 
Sio pesa.
Ni ulimi tu. Hata wewe ukiutumia vizuri utapendwa kupitiliza.
 
Usikute tofauti yao sio namna ya kukuna, isipokuwa Ukubwa wa Kibunda

Mwenye kibunda kikubwa ndiyo ataonekana mtaalamu wa kukuna...
It's obvious
Yaan mwanamke ni rahisi kumkojolesha ukiwa na pesa. Otherwise Kama huna kibunda inakuwa unamchosha na mastaili yako ya ajabu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…