Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

Unataka kuvaa bomu la kujitoa mhanga? Utafia kwenye tukio
 
Yeees.

Yeeeees

Mzee wangu Grahams tutafute pesa. Tusiwe wagumu kuwapa pesa kuogopa fedheha Kama hizi
Sahihi Mkuu, ukiwa unatoa mpunga wa kueleweka hata viuno feni unapewa

Unakuta binti akija kwako anakuwa gogo, lakini akienda Kwa mshkaji mwingine anayempaga kibunda kikubwa anampa viuno kama Mwali wa kimakonde 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…