Kumpata mtu mmoja akawa ana vyote viwili ni changamotoVyote viende sambamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumpata mtu mmoja akawa ana vyote viwili ni changamotoVyote viende sambamba
Wapo lknKumpata mtu mmoja akawa ana vyote viwili ni changamoto
🤣🤣🤣🤣aisee yaani yule anaishi kwenye dunia yake mwenyewe...yaani anaishi kama zile story za kusadikika za DisneyDiva kama vile sometext missing...
Kipindi anadate na Crazy GK akasema redioni eti hajapenda ameenda ukweni (kwao GK) akapewa ugali na cabbage
Wapo lakini wakutafuta na tochi ni kama kumpata mwanamke bikra kutokana na hilo ndio imesababisha wanawake kuwa na michepuko kuna mtu wakumrudhisha, na wengine masponsorsWapo lkn
Sasa sijui anapenda wanaume wanao trend mitandaoni au ana penda attention. Huyu Fred angekuwa ke angeitwa majina yote.Ningekuwa yeye ningeenda na wewe kuliko huko kuaibishwa na kukataliwa hadharani, au ana shida kunako maana hao uliotaja ni km wamemkwepa kinamna flani
Kwakweli mdada cv yake ya mahusiano haivutii,Sasa sijui anapenda wanaume wanao trend mitandaoni au ana penda attention. Huyu Fred angekuwa ke angeitwa majina yote.
Female hustlerHivi neno Diva Lina maana gani kwa wanaojua watujuze
MajizoKumpata mtu mmoja akawa ana vyote viwili ni changamoto
Hamna lolote inategemea tu🤣🤣Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai
Tangu lini Mwanaume anayetoa hela nyingi akabezwa
Hata kama atakuwa anamkaza kimoja chali lakini atasifiwa kwenye makamera, wakati behind the scenes kuna Mwamba anampelekea moto ile ile 🙌
We unajuaje anajua kugonga vizuri manzi? Aliwahi kugongewa demu na mondi yule Hamisa mobetto mpaka hamisa akazaa na mondi akiwa ana mahusiano na MajizzoMajizo
Pesa ni sabuni ya roho. Hao wa zamani hawakufika bei.Ila divathebawse kaharibu tu alipowaponda Wanaume zake wa zamani aliosema ni wengi waliombandua ila hawakumkuna.
Unataka kuvaa bomu la kujitoa mhanga? Utafia kwenye tukioMungu hakupi vyote na moja alilonyimwa Bi. Kidoti ni busara ya kuchagua wanaume.
Alisha date na Diamond ambapo aliishia kudhalilishwa, alidate na Kiba napo aliishia kuaibishwa mitandaoni tu kuwa anajipendekeza, akaenda kwa Mkinga misifa napo zero.
Kwa level aliyofikia inabidi atafute mtu mzima mwenye pesa zake asiekuwa na maisha ya social media, sio hawa wauza sura.
Mimi ningemfaa sana maana nimekidhi vigezo vyote isipokuwa cha pesa. Na nipo tayari tutumie za kwake😜😜, mimi ni kumpenda tu.
Kicheche lulu asingetuliaWe unajuaje anajua kugonga vizuri manzi? Aliwahi kugongewa demu na mondi yule Hamisa mobetto mpaka hamisa akazaa na mondi akiwa ana mahusiano na Majizzo
Unataka kusemaje Mjukuu, kwamba unazingatia shoo shoo ambayo sisi Wazee hatuwezi?😜Hamna lolote inategemea tu🤣🤣
Sahihi Mkuu, ukiwa unatoa mpunga wa kueleweka hata viuno feni unapewaYeees.
Yeeeees
Mzee wangu Grahams tutafute pesa. Tusiwe wagumu kuwapa pesa kuogopa fedheha Kama hizi
Nakala;It's obvious
Yaan mwanamke ni rahisi kumkojolesha ukiwa na pesa. Otherwise Kama huna kibunda inakuwa unamchosha na mastaili yako ya ajabu ajabu
Hahaha.............nilikuwa nakumbuka enzi za Ujana wangu Mwaka 47 🤗🏃🏃🤣🤣🤣Uache kujiita mzee 🤒