TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Inakuwaje mnafahamu maisha ya watu kiasi hiki?
Ndio maana Shinyanga iko vile hadi sasa. Watu wake wamekalia umbea umbea tu
 
Ndivyo ilivyo mkuu,halafu mwendazake alikuwa akiwapiga vita mno kutokana na majina yao ya ukoo,hakufahamu tu kuwa hawa ndiyo waliokuwa wakimsaidia kutimiza ndoto yake ya tanzania ya viwanda.
Wako vizuri sana aisee.
 
...Hawa Hawa Wanaowatia Moto wa Petrol Washikaji zao, kama Kule Mbezi? Ama wengine?[emoji16]
 
Nyerere aliviogopa Kweli kweli fikiria Kama KNCU enzi hizo walimpa scholarships Reg Mengi kusoma Scotland,jiulize walikua na pesa kiasi gani.

KNCU,SHIRECU,KCU vilimalizwa kiaina.
Kuna Thesis moja ya Muingereza Mmoja alikuwa anafanya research yake ya PhD aliliandika hili.

Nyerere tumsifu tu kwa kutuunganisha Watanzania, ila mengine alitupoteza mno. Nchi ya Japan ni nchi ya mfano kwenye suala la Ushirika. Japan Ushirika ndio umeshika uchumi wa nchi yao, sisi huku tukaamua kwa makusudi kuua eti ili chama pekee ndio kiwe msingi wa maendeleo. That was a stupid move..
 
Duh! buluba hiyo kitu sio mchezo umenikumbusha mbali vurugu za waqt huo pana bwege mmoja alikuwa nadhani muhasibu wa polisi alowavuruga sana watoto wazuri wa hapo tukawa tunawalia macho tu
 
Acha kudanganya watu wewe, wewe ni mchagga haswaa. Tangu lini mchagga akakubali mwanae aolewe na kabila jingine tofauti na chagga!!! Hata kama wapo huenda ni wachache sana. Acha Walete feedback apa kama wamesalimika.
Mchaga yupo tayari kumuozesha mtoto wake kabila lolote hata kumuozesha kwa ukoo wa shetani ilimradi tu anaenda kuolewa kwenye pesa...pesa imeondoa utu ndani ya wachaga.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje mnafahamu maisha ya watu kiasi hiki?
Ndio maana Shinyanga iko vile hadi sasa. Watu wake wamekalia umbea umbea tu
Hahaaaa..hapana bhna jamii ya watu wa shinyanga hasa wasukuma wanafahamiana sana koo nyingi zinaingiliana na ni watu wanaopenda undugu na kujumuika pamoja..ndio mana wengi wanafahamiana kwanamna moja ama nyingine..pia mji wa shinyanga sio mkubwa sana...pia mwingiliano wa wageni sio mkubwa..hivyo wengi ni wazawa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah umetisha Sana jomba,mitaa ya kambarage uwanjani tuition kwa sosi.

Kuna kipindi Ibra niliwahi kukutana nae Vancouver,CA sijui Yuko wapi Siku hizi.
Sawa sawa..ila Twishen na mwalimu sosi imetoa vijana wengi sana shy..miaka ya 2000 mwanzoni...mana shule zote za msingi wanafunzi asilimia kubwa wamesomea pale shilingi tano kambarage uwanjani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…