TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Umenikumbusha Mzee Kiloba. Huyu alikuwa manager Lugulu. Kipindi tupo watoto kabisa. Mkewe alikufa kwa ngoma na yeye akamfuata. Walikuwa na bonge la nyumba Mwasele. Mwasele ilijaa wanyatunzu. Kina Magulu wadogo wawili nao ngoma iliwapeleka.Hivi mzee Mahongo bado yupo Mwasele ?Shirecu ltd 1984.Shirika hata miaka 20 halikufikisha likaanza kuyumba mpaka kufa. Edward Ng'hwani aliliua shirika kwa kuendeleza unyantuzu.
Inakuwaje mnafahamu maisha ya watu kiasi hiki?
Ndio maana Shinyanga iko vile hadi sasa. Watu wake wamekalia umbea umbea tu
 
Ndivyo ilivyo mkuu,halafu mwendazake alikuwa akiwapiga vita mno kutokana na majina yao ya ukoo,hakufahamu tu kuwa hawa ndiyo waliokuwa wakimsaidia kutimiza ndoto yake ya tanzania ya viwanda.
Wako vizuri sana aisee.
 
Nilioa uchagani sijutii kabisa. Mungu alinipa mke ambaye kwa umoja wetu tuliufuta umaskini wangu na ndugu zangu. Kuna siku nilisema hapa kuwa baada ya Mimi kuoa mchagga na rafiki zangu na ndugu wakashuhdia maisha yetu mazuri mno ya kuelewana na upendo basi ndugu zangu wa kuzaliwa tumbo Moja wote tumeoa wachagga. Ndugu wa ukoo wengi wameoa wachagga. Best friends zangu nao walioa wachagga. Kifupi sote tulioa wachagga tumebadili kila kitu kimaisha na kijijini tutokapo. Wazee wangu kabla ya kufariki walituita wakaomba kuwa sote tumuite mke wangu "Mama". Hivyo mke wangu haitwi Wifi wala shemeji. Na Mimi ninamuita mama na simkumbuki siku nimemuita kwa jina lake. Mungu akubariki mama Bahati

Endeleeni kuwabeza wachagga Ila niseme tu Wachagga ni taifa lingine kabisa. Tena kwa sasa vijiji uchagani utafikiri ni Miji mikubwa. Hata maisha ni kama mjini mpaka hata mapishi Yao.
...Hawa Hawa Wanaowatia Moto wa Petrol Washikaji zao, kama Kule Mbezi? Ama wengine?[emoji16]
 
Nyerere aliviogopa Kweli kweli fikiria Kama KNCU enzi hizo walimpa scholarships Reg Mengi kusoma Scotland,jiulize walikua na pesa kiasi gani.

KNCU,SHIRECU,KCU vilimalizwa kiaina.
Kuna Thesis moja ya Muingereza Mmoja alikuwa anafanya research yake ya PhD aliliandika hili.

Nyerere tumsifu tu kwa kutuunganisha Watanzania, ila mengine alitupoteza mno. Nchi ya Japan ni nchi ya mfano kwenye suala la Ushirika. Japan Ushirika ndio umeshika uchumi wa nchi yao, sisi huku tukaamua kwa makusudi kuua eti ili chama pekee ndio kiwe msingi wa maendeleo. That was a stupid move..
 
Hakuna kitu kigumu kukitunza Kama utajiri- inahitaji succession plan ya nguvu- matajiri wengi wa shy- hawakuwekeza kwenye elimu ya watoto wao- watoto wao wengi waliendekeza starehe- na ndio waliofilisi wazazi wao- mbali na Hawa matajiri wa shirecu- huko nyuma kulikuwa na matajiri wa kiaarabu- kina Zege- mwanamduni- super diga- Hamndani- seif Hotel- shinyanga welding- wengi wao wamechoka- kidogo phantom ndie hajateteleka sana-kwa muda mrefu Yuko juu- walitutesa sana- ngoja twende sawa kidogo- Kama tuliosoma mwenge primary na Buluba- ilikuwa ni shida Sana. Hawa wachaga kina shoo na kina Gaki- anagalau wanawekeza kwenye vitu vya maana- kuliko hao waarabu na Ex- shirecu- wao ilikuwa ponda mali- kufa kwaja.
Duh! buluba hiyo kitu sio mchezo umenikumbusha mbali vurugu za waqt huo pana bwege mmoja alikuwa nadhani muhasibu wa polisi alowavuruga sana watoto wazuri wa hapo tukawa tunawalia macho tu
 
Acha kudanganya watu wewe, wewe ni mchagga haswaa. Tangu lini mchagga akakubali mwanae aolewe na kabila jingine tofauti na chagga!!! Hata kama wapo huenda ni wachache sana. Acha Walete feedback apa kama wamesalimika.
Mchaga yupo tayari kumuozesha mtoto wake kabila lolote hata kumuozesha kwa ukoo wa shetani ilimradi tu anaenda kuolewa kwenye pesa...pesa imeondoa utu ndani ya wachaga.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje mnafahamu maisha ya watu kiasi hiki?
Ndio maana Shinyanga iko vile hadi sasa. Watu wake wamekalia umbea umbea tu
Hahaaaa..hapana bhna jamii ya watu wa shinyanga hasa wasukuma wanafahamiana sana koo nyingi zinaingiliana na ni watu wanaopenda undugu na kujumuika pamoja..ndio mana wengi wanafahamiana kwanamna moja ama nyingine..pia mji wa shinyanga sio mkubwa sana...pia mwingiliano wa wageni sio mkubwa..hivyo wengi ni wazawa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah umetisha Sana jomba,mitaa ya kambarage uwanjani tuition kwa sosi.

Kuna kipindi Ibra niliwahi kukutana nae Vancouver,CA sijui Yuko wapi Siku hizi.
Sawa sawa..ila Twishen na mwalimu sosi imetoa vijana wengi sana shy..miaka ya 2000 mwanzoni...mana shule zote za msingi wanafunzi asilimia kubwa wamesomea pale shilingi tano kambarage uwanjani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom