TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Kina Paul na Edward Ng'hwani. Malori yao yaliitwa Rehema za Mungu. Wote wawili wameshaaga dunia. Utajiri kwishney. Watoto wao wana maisha ya kawaida tu.
Unanitisha, nina ndugu yangu alipita kwenye mikono ya Gaki na Jambo , alikua na ginnery , faster akaongeza kiwanda cha mafuta ya pamba, alizet, mchele, unga na kampun ya usafirishaj, vilivyopukutika, hutoamn.. au itakua nae alizulumu nn, imebak Rice mill pekee, msimu huu naona anahangaika kufufua oil mill.. hii mada imenifikirisha sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakunywa kwa kikombe
 
Sawa.Sasa nia ya kuleta hili tangazo JF ni nini hasa,hebu tutonye.
 
jingine hili lenye mawazo mgando,ukiulizwa ushahidi utaishia kutoa macho
 
Hadi leo Shirecu imejaa wasukuma. Sasa hivi General Manager wake ni jamaa moja anaitwa Hans ni Mnyakyusa, ila staff wote ni full wasukuma. Ila hivi vyama vilikuwa Giant sana, hadi Nyerere unaambiwa aliviogopa.
Nyerere aliviogopa Kweli kweli fikiria Kama KNCU enzi hizo walimpa scholarships Reg Mengi kusoma Scotland,jiulize walikua na pesa kiasi gani.

KNCU,SHIRECU,KCU vilimalizwa kiaina.
 
Kwani kiwanda cha sukari ni cha SSB!!??
Poleee.
 
Mtoto wake anaeitwa Ibrahim Paul Ng'a... alikuaga chalii angu Sana enzi hizo.

Na akili za darasani alikua nazo sana.
Sana alimaliza form four Uhuru sec. Hata dada zake walikuwa na akili karibu wote wamemaliza university. Sema wana life la kawaida tu la kuajiriwa. Hawajaendeleza biashara za baba zao.
 
Mikopo ya kununua pamba wengi walipata hasara kuuziwa pamba chafu
 
Mkuu usiongee tu, frester ni kampun kubwa kuliko unavyo fikiri, hakosi bus 50 yule
Jamaa kaiteka njia ya bukoba na amekaa muda mrefu kweli.

Maana wengi huleta mabasi yao ya dar bukoba hadi dar lux lakin huchoka haraka lakin huyu frester amekaa muda mrefu just imagine ana kila siku mabasi yake nane hutoka na kuingia bukoba kutoka dar na Moro.
 
bilionea Shoo ilikuwa ikifika mwisho wa Mwaka anaweka sherehe kwa wafanyakazi wake na familia zao inakuwa ni kula na kunywa kwa siku kadhaa .

vilevile alisaidia watu wenye shida mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…