mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Hapana niliondoka kipande hiyo siku nyingi Sana hata hiyo Complex ya Matanda ndio nasikia SASA. Zamani kule viwanja bei ilikuwa bure watu walikuwa wanaogopa uchawi.Ule mjengo mpaka leo ni wa kisasa, jamaa alikua mbele ya muda aisee, pia alikua humble and down to earth. We bado upo hayo maeneo?