TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Aliiba alimzurumu pesa mzee minzi ambaye alikua meneja wa shirecu..walipiga hela fresho akamzurumu mamilioni..mzee minzi alifungwa alikuja kutoka jela hana moja wala mbili..kwenda kwa fresho kumuomba ampe suport ya maisha fresho alimtishia kumuua..mzee minzi alibidi aokoe awe mlokole mana ilibaki kidogo afe kwa stresss za maisha.

Wachaga wengi mali zao niza wizi na dhuluma.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tahira kila mahali unawaongelea mabaya wachaga. Walikula jich nini?
 
Hawa walikuwa wanakojoa bar halafu anamuambia muhudumu deki halafu anamlipa hapo hapo. Ndio hawa walianzisha mfumo wa kununua bia kreti, wanajaza kwende ndoo ya lita 20 zote halafu wanachota kwa kikombe. Matajiri wengi wa shinyanga, bariadi na mwanza msingi wao mkubwa ulitokana na NCU na SHIRECU.

Na pia jeshini enzi za msuguli yaelezwa imetajirisha sana wengi.
Duuh..walitisha aseee..[emoji28][emoji28]..naskikia mwenyekiti ngwani alikua akiingia makao makuu anatoka na gunia la pesa...kipindi hicho

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi leo Shirecu imejaa wasukuma. Sasa hivi General Manager wake ni jamaa moja anaitwa Hans ni Mnyakyusa, ila staff wote ni full wasukuma. Ila hivi vyama vilikuwa Giant sana, hadi Nyerere unaambiwa aliviogopa.
Kabisa vilikua na ukwasi wa hali ya juu sana..kumbuka wakina P.Bomani walivyo kuwa na pesa kule NCU.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam.

Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda cha vifungashio na kiwanda cha kuchakata mafuta ya pamba pamoja na uwanja Mpya wa Kisasa uliopewa jina la ‘Fresho Complex’ uliopo katika eneo la Ugweto kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga,Pia ni kaka mkubwa wa Hillary Shoo mwenye viwanda vya Maji ya HILL,Hill Feeds na Kiwanda cha vifungashio cha Hill...
Na mdogo wao Harold Shoo maarufu HARSHO wa Moshi mwenye kiwanda cha Vifungashio Kwa Sadala Moshi kama HARSHO Packaging maarufu kwa Mifuko ya Super Sokoni.

Mungu Ailaze Mahali Pema Peponi Roho ya Marehemu Fresho. Amina

View attachment 1875353
Pichani: Aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli akikata Utepe kuzindua Kiwanda cha Vifungashio cha FRESHO Shinyanga mwaka 2017 kushoto kwake mwenye Jaketi la Bluu bahari ni Marehemu Fredrick Shoo.

View attachment 1875371

View attachment 1875372

View attachment 1875373
tuendelee kumwomba Mungu na TUOKOKE, hizi ni siku za mwisho
 
Back
Top Bottom