TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Hahaaa..kwahiyo ni mchezo wa majizi..ila hadi kumtishia maisha ingawa ndiye aliyempa hela amhifadhie alizopiga..ili akitoka jela amrudishie na maisha yaendelee.

Ila point itabaki hao majamaa mali zao niza wizi..udhulumaji na ufisadi wa kupindukia...hawaaminiki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwizi nae kadhulumiwa hapo ngoma droo...kina ngwani nani aliwadhulumu pesa mbona nao walibaki na maghofu tu hapo shy pia watoto hawana pesa kabisa kina nyarobi
 
Mwizi nae kadhulumiwa hapo ngoma droo...kina ngwani nani aliwadhulumu pesa mbona nao walibaki na maghofu tu hapo shy pia watoto hawana pesa kabisa kina nyarobi
Kina Paul na Edward Ng'hwani. Malori yao yaliitwa Rehema za Mungu. Wote wawili wameshaaga dunia. Utajiri kwishney. Watoto wao wana maisha ya kawaida tu.
 
Shida sio hiyo waliwekeza shy tu maguest badala wa kujenga mwz,dar huko mpka leo wangekua wanakula pesa....paulo kafa hela imekata heri edward anahotel ya ghorofa mwanza kaluta
Enzi hizo jina Ngwani lilkua ndio jina kubwa Shy..walikua na hela sana hao jamaa..na gari zile za neema ya Mungu..hatari sana asee...sema kila zama na vitabu vyake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi nae kadhulumiwa hapo ngoma droo...kina ngwani nani aliwadhulumu pesa mbona nao walibaki na maghofu tu hapo shy pia watoto hawana pesa kabisa kina nyarobi
Hao kinda Paulo ngwani hawakuwa na mipango mizuri na pesa zao za ndagu, sema hao jamaa waliokuwa na viwanda vya pamba wana mikopo mikubwa sana kwenye ma bank
 
Kina Paul na Edward Ng'hwani. Malori yao yaliitwa Rehema za Mungu. Wote wawili wameshaaga dunia. Utajiri kwishney. Watoto wao wana maisha ya kawaida tu.
Tulichokosa waafrika ni wealth transfer from one generation to another..no succession plan..akifa mwenye mali nazo ndio zimepotea.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliiba alimzurumu pesa mzee minzi ambaye alikua meneja wa shirecu..walipiga hela fresho akamzurumu mamilioni..mzee minzi alifungwa alikuja kutoka jela hana moja wala mbili..kwenda kwa fresho kumuomba ampe suport ya maisha fresho alimtishia kumuua..mzee minzi alibidi aokoe awe mlokole mana ilibaki kidogo afe kwa stresss za maisha.

Wachaga wengi mali zao niza wizi na dhuluma.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mbinu mnazijua Na nyie ibeni mkuu mpige vita umasikini uliokithiri mnakotoka huko…
 
Ni kweli kabisa mana shirika lilijaza ukabila sana hasa wanyantuzu..wajanja nao wakaingia wakapiga vzr..sema kilichoua zaidi shirika ni ubinafshaji uliofanyika na mambo ya soko huria..kipindi cha utawala wa awamu ya tatu.

Ila shirecu was [emoji91][emoji91][emoji91]

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi GM Sulla bado yupo ?Kweli Shirika lilijaa wanyantuzu. Kumbuka Edward Ng'hwani ndo alikuwa mwenyekiti wa Shirecu. Sema Ukimwi kweli uliwamaliza. Kuna mjomba wangu pia alikufa alikuwa manager wa Ginery moja ya Shirecu 😭
 
Hivi GM Sulla bado yupo ?Kweli Shirika lilijaa wanyantuzu. Kumbuka Edward Ng'hwani ndo alikuwa mwenyekiti wa Shirecu. Sema Ukimwi kweli uliwamaliza. Kuna mjomba wangu pia alikufa alikuwa manager wa Ginery moja ya Shirecu [emoji24]
Sulla yupo..Wakina kulwa kabizi..wapo..ni kweli wanyantuzu walijaa sana shirecu..bho mami ulikua mingi sana..walikua wanapeana vyeo hata mtu hana shule...mwisho wakaanza ufisadi na wizi uliokithili..kupelekea shirika kufa wengi walifungwa..walioendekeza uchi nao walikufa kwa ngoma sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unataka tu support wezi...mafisadi..unataka tutengeneze jamii ya aina gani?

Huyo fresho mwenyewe nguvu ya soda wizi na utapeli mtupu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wa kipuuzi kabisa wa wabantu.. Kama vile kusema jamaa tajiri kwa sababu anatumia majini.. Asa si na wewe uyafate hayo majini upige hela? Kama huwezi unyamaze
 
Huyo ni Minzi mdogo. Minzi mkubwa ndo alikuwa manager na alikuwa na pesa. Ingawa minzi mdogo wa Ngokolo nae alikuwa mhasibu Shirecu. Walijua kupeana kazi.
Sawa huyo mkubwa ni wa mwasele..baada ya kupiga pesa alikuja kufungwa..pesa alimkabidhi fresho amhifadhie kipindi hicho fresho anauza duka la vyombo..kuja kutoka fresho kawa tajiri..na kamtishia kumuua ikiendelea kufuata kuomba pesa zake..mzee ilibidi aokoke tu..ila alikua na pesa asee mana maisha aliyokua anashi ni ya kifahali sana enzi hizo...sahivi yupo maisha yanaenda kibishi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa huyo mkubwa ni wa mwasele..baada ya kupiga pesa alikuja kufungwa..pesa alimkabidhi fresho amhifadhie kipindi hicho fresho anauza duka la vyombo..kuja kutoka fresho kawa tajiri..na kamtishia kumuua ikiendelea kufuata kuomba pesa zake..mzee ilibidi aokoke tu..ila alikua na pesa asee mana maisha aliyokua anashi ni ya kifahali sana enzi hizo...sahivi yupo maisha yanaenda kibishi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Si angemwachia hata mdogo wake. Au mkewe. Duh unamwachia fisi bucha jamani......
 
Back
Top Bottom