chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #21
Mkuu, amka Sasa, daladala litakupitiliza kituo, naona ndoto imekukoleaHua naogopa sana juu ya mambo yanayo endelea dhidi ya ccm, kuna siku watu watabadilika wataingiwa na roho mbaya ya kutaka kujua hatma ya maisha yao.
Hawa polisi hawatafua dafu, jeshi halitaweza kuwazuia raia walio chafukwa roho.
Haya majamaa ya ccm yatakikana chama chao hadharani. Siku inakuja na itafika tu