Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Mzee umeuwa kabisa. Yani niesoma napata picha ya getto langu la skul pale mbeya forest, masela wote tuliokuwa tunakutana toka kila mkoa tunaemda kusoma mbeya.

Hii ndio ilikiwa Radio ya Geto, ukibadili basi umeangukia RFA.

Ni kweli Radio zote Saiz ni Copy ya Clouds FM, labda power breakfast wameigeuza kuwa Michezo, kisha wanakuja na kipindi cha Akina Gea habibu, kuanzia saa 5 asbh hivi radio zote ni pumba na umbea cha maana ni matangazo tu ya biashara, sasa baada ya hapo studio ni ujinga ujinga mpk siku inayofuata.

We miss kiss fm ..kiss fm ssi siis iss (jingle hilo)[emoji16]
Dumelang
 

Ukute hata hiyo redio hana ila hata kusikiliza redio kupitia simu ya hawezi!
 
Mimi nashauri hivi, Program kama zile za Kiss FM zinahitajika sana kwa hii new generation kwa sababu kiingereza kwao sio tatizo.

Kiss wabadilike,hata kama hawana mtaji wa kutosha watafute muwekezaji (au ajitokeze mwekezaji ainunue kabisa Kiss FM ) kisha zirudishwe zile program zote za zamani na program mpya bora zaidi. Warudishwe wale watangazaji wote wa zamani,kwa wale watakao kosekana basi pengo lao lizibwe na mtu wa character hiyo

Wafanye Uzinduzi mkubwa na upate attention kubwa kisha Kiss FM ianze rasmi kuwasha moto. Wajifunze walipokosea awali na kuboresha zaidi na zaidi

Dj Maliz.....fyu fyuuuuuuu!

Kiss FM....Kiss FM........fss fss fsss....

For Today's Best Music!

We really miss you Kiss FM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivo vitu si kazi, shida ipo kwa Mmiliki na washauri, washauri wa mmiliki bado wako enzi za Analogia hata kimuonekano hawawezi ku compete kibiashara na generation hii ya akina Majay
 
hahahahha unanikumbusha mbali sana enzi za SHOW TIME, Top 10 za Ijumaa huzikosi yaaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…