Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Na Husna nae kapotelea wapi?
 
Khee..! Kujiunga na redio nyingine ndo kunakufanya uone redio iliyojiunga ndo ya maana..!?? SASA KWANINI USISIKILIZE HIYO REDIO WANAYOJIUNGA NAYO..???
wanajiunga nayo it means ni washirika hawana frequency hapa
 
Mkuu kwa kuwa wewe huwa unasikiliza redio, waweza share nasi huwa unasikiliza kitu gani(kipindi gani) kutoka redio ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee... !!! kwa hiyo, unamaanisha, watanzania kuipata BBC ni mpaka kupitia redio zinazojiunga nayo? Is it?
ndio, hakuna frequency hapa bongo unaweza ipata BBC.., Zaidi ya redio washirika na hii tunaizungumzia ni ile Idhaa ya Kiswahili
 
Khee..! Kujiunga na redio nyingine ndo kunakufanya uone redio iliyojiunga ndo ya maana..!?? SASA KWANINI USISIKILIZE HIYO REDIO WANAYOJIUNGA NAYO..???
Kinachotangazwa ndicho kinachovutia kukisikiliza. Hizo redio wanazojiunga nazo hazina masafa yao rasmi hapa Tz na kuwasikiliza kupitia mtandao bando la data ni shida. Umaana wa redio unaletwa na hicho kinachotangazwa. "It's the content that counts" Waingereza walisema hivyo.
 
sio lazima anachokisikiliza yeye na wewe ukisikilize, redio zipo nyingi na vipindi mbalimbali
Ila jamaa kaomba tu atajiwe hicho kipindi anachosikiliza mdau. Yaani ye y yeye ataje.tu kipindi. Simple tu mbona hiyo.
 
Ila jamaa kaomba tu atajiwe hicho kipindi anachosikiliza mdau. Yaani ye y yeye ataje.tu kipindi. Simple tu mbona hiyo.
asikilize EA Drive ya EA Radio au Kiss Drive time ya Kiss fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…