Pre GE2025 Freeman Aikael Mbowe kesho atatangaza rasmi kugombea uenyekiti CHADEMA wakati wa ufunguzi wa ofisi ya CHADEMA Kinondoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joined
Nov 27, 2024
Posts
43
Reaction score
127
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.

Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.

Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.

Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.

Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
 
Atauambie kwani nafasi ya uwenyekiti anataka kujimilikisha maisha.
 
A junk of stupidity
 
Apigwe nduli Lissu (wote tuitikie) apigweeee!!!!
 
Mbowe imetosha sasa,,!

Kwa kukiheshimisha chama mbele ya jamii, na pia kutunza heshima yako uliyojijengea miaka mingi, achia wengine hiyo nafasi ya juu na ubaki kwenye nafasi ya ushauri.
Freeman imetosha!
 
Wasiompenda Mbowe ni maccm tu, atangaze kura ziamue ,yoyote atakaepita awe Mbowe au lissu sawa tu wala sioni tatizo .

Mbowe au lissu mmoja wao akiwa mwenyekiti bado anaitaji mshikamano wa viongozi wengine ,ili chama kiende mbele ,
 
Kwa walio karibu na Mbowe wamshauri kwa nia nzuri tu, ni kweli kafanya kazi kubwa kukijenga chama ila ni muda sahihi kukaa pembeni angalau kwa muda mfupi na kuona namna mawazo mbadala yanavyoweza kuleta mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…