Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nani atalipia gharama za ukumbi?😀😀Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.