Nani atalipia gharama za ukumbi?😀😀Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
Yaani nchi imekuwa ya machawa,maafisa ubashiri na wapiga ramli.A junk of stupidity
Wana mdanganyaKesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
Itakua saaa ngapi????Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
Dalili zote zinaonyesha atagombea. Ameanza kwa kutengeneza mtandao wa machawa wake huko wilayani,mikoani na kwenye kanda. Na Mungu akitujalia 2029/30, atagombea tena. Ukishakula nyama ya mtu hutaacha. Hakuna kitu kinacholewesha kama madaraka. CHADEMA walifanya kosa kubwa kubakiza hiki kifungu cha kuondoa ukomo kwenye uongozi kwa muda mrefu. Around 2015 kilitakiwa kiondolewe. Nasikia hata kijana wa Mbowe naye anapewa majumu ya kufanya kwenye chama kwa namna inayoacha mashaka. Haya yote ni madhara ya kulewa madaraka.Siwezi kuamini hadi nione, Mbowe akigombea tena uwenyekiti nitamvua heshima yote niliyonayo juu yake.
Kwahiyo Mbowe nae anataka kuanza kampeni mapema kama Lisu wakati bado uchaguzi haujatangazwa?Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
Afya ya Chama katika kujibizana hadharani Iko wapi?Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
Kama wanataka Chadema iendelee kuungwa mkono na kusonga mbele basi hiyo kesho atangaze kuwa hatogombea uwenyekiti bali atasimamia uchaguzi kuhakikisha kuwa Chama kinapata Mwenyekiti mpya! Vinginevyo asiongelee kabisa masuala ya uchaguzi wala asimjibu Tundu Lisu. Najua Mhe. Mbowe ni mtu mwenye buasara.Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
ExactlyKama wanataka Chadema iendelee kuungwa mkono na kusonga mbele basi hiyo kesho atangaze kuwa hatogombea uwenyekiti bali atasimamia uchaguzi kuhakikisha kuwa Chama kinapata Mwenyekiti mpya! Vinginevyo asiongelee kabisa masuala ya uchaguzi wala asimjibu Tundu Lisu. Najua Mhe. Mbowe ni mtu mwenye buasara.
Lissu amesha maliza kazi anasubiri uchaguzi tuKesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
Mbowe syo kichaa kama lisuKesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee ufafanuzi black and white.
Pia kesho ataeleza udhaifu wote wa makamu wake, mwanzo mwisho.
Na hapo vita ndio itakuwa imeanza rasmi kesho.
Huyu anawashwa washwa! Anatoa kauli kutoka chooni.We umejuaje?
Atatuvunja Moyo Sana kwakweli.
Na huu ni mtazamo wa chadema nzima, ni wakati aamue kuondoka kwa heshima au aharibu legacy yakeSiwezi kuamini hadi nione, Mbowe akigombea tena uwenyekiti nitamvua heshima yote niliyonayo juu yake.
Mbowe ana haki ya kutangaza Nia ya kugombea uongozi ila SI kwa kutumia platfomu ya shughuli za chama, atakuwa kakosea maxima.Yeye naye atafute siku yake maalumu atangaze Nia, waandishi wa habari wampige maswali yote.Pia sitarajii tukio la mbowe kutangaza Nia liwekwe kwenye chadema media kamwe.Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.