Pre GE2025 Freeman Aikael Mbowe kesho atatangaza rasmi kugombea uenyekiti CHADEMA wakati wa ufunguzi wa ofisi ya CHADEMA Kinondoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katika hotuba ya lissu sikuona akimponda mbowe, zaidi ni kumzungumzia maswala. Uwazi katika hotuba ya lissu tumefanikiwa kujua kilichojificha kwenye baadhi ya mioyo ya wafuasi wa chadema mfano yeriko Nyerere, wanajifanya wanapenda uwazi kumbe unafiki mtupu
 
Atatuvunja Moyo Sana kwakweli.
Uchaguzi huu ndo utatufanya kujua lengo la mbowe ni kutaka mabadiliko ya nchi au ya kwake binafsi, siasa ni muda na wakati, kwa sasa wanachadema na WA Tanzania wanamtaka lissu, ukubali ukatae.
 
Atangaze tu.

Sisi tunataka kuona watu wakitumia haki yao ya kugombea, kuchaguliwa na kushindwa.

Sio mtu mmoja, ajiaminishe kua yeye ndo mbeba maono
 
Ramli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…