Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani!

Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo utakuwa unaharibu ! Kikwete tutamlinda kwa nguvu zote, Kikwete sio mgombea Ttena wa chama chochote! Kikwete ni mstaafu, pambaneni na Makonda anayewatoa kamasi kwa knockout kwa Kila jaribio lenu !

Kikwete aliwadekeza sana enzi za utawala wake lakini sasa ,mnataka kutufanya vifurukombe!
 
We ni ke au me?
Mbona vichambo hivi.....?
 
Wewe kama nani? Kikwete lazima asakamwe unataka au hutaki
 
Mbona kama unachamba
 
Imekuaje tena?
 
We popoma kweli...unajuwa nani anayelipia hizo safari? Gharama za kurusha hilo pipa na kulisha hiyo komvoi ?Chawa wa kihindi wewe...
 
kiongozi mstaafu anakua agenda ya mwenyekit wa Chadema Taifa 😀

huku ni kufilisika hoja kwa kiwango kibaya sana...

kwamba unawakusanya watu ili waje wakuskize kiongozi mkuu wa chama analalanika ati kiongozi fulani anasafiria sana na raisi na kwahivyo moyo wako unaima sana na ndio maana maisha yameyumba nchini😛
 
ass licker upo kazini. Nyie jinsia huwa mkimpenda mtu mnamtetea sana.
 
Kwani Salma unataka kusemaje???
 
Acha jaziba za kijinga, jifunze kwanza kuandika kituo hadi kituo na kuzingatia sentensi na sentensi

Kwanza Kikwete hajawahi kukasirika hovyo hovyo kama wewe mwandishi

Na umesahau kitu gani kuhusu siasa?

Mara ngapi Kikwete kasemwa na bado alifanya na hata sasa anaendelea?
 
Wewe kama nani umlinde kikwete?,huyu kwangu ni mwizi tu, kaliibia sana taifa hili na elewa Tanzania hii sio ya akina kikwetes, na ya watanzania wote, nani REAL OWNER WA UDA na Nyati cross borders transporter?
Una wivu wa kijinga aliyepewa kapewa ,hakuna wizi Wala nini Kila na alichopangiwa na mungu
 
Pambaneni na watawala sio wastaafu ambao kwa sasa sio wagombea ni ujinga kupambana jiwe lililosimika
 
Akitumia mali za umma pasipostahili lazima awe agenda labda kama haujitambui na inatakiwa kuwa agenda kwa kila mtazania ili huyo mstaafu afikishwe mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…