Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Akitumia mali za umma pasipostahili lazima awe agenda labda kama haujitambui na inatakiwa kuwa agenda kwa kila mtazania ili huyo mstaafu afikishwe mahakamani.
Alitumia mali umma lini we kenge? Mliandamana kwa ajili ya jk?
 
kiongozi mstaafu anakua agenda ya mwenyekit wa Chadema Taifa 😀

huku ni kufilisika hoja kwa kiwango kubaya sana...

kwamba unawakusanya watu ili waje wakuskize kiongozi mkuu wa chama analalanika ati kuongozi fulani anasafiria sana na raisi na kwahivyo moyo wako unaima sana na ndio maana maisha yameyumba nchini😛
Ni hasira za kubuma kwa maandamano
 
Umekosa hoja ! Umekosa mvuto, Hauna dira yoyote ! Kama Kikwete kusafiri na Samia wewe unaumia, kasafiri nae wewe!? Kikwete hapangiwi na wewe mahali kwa kwenda wala Samia hapangiwi na wewe anatakiwa kusafiri nanani!

Stress za maandamano kukosa mvuto na wafuasi usiziamishie kwa JK wetu ! Hapo utakuwa unaharibu ! Kikwete tutamlinda kwa nguvu zote, Kikwete sio mgombea Ttena wa chama chochote! Kikwete ni mstaafu, pambaneni na Makonda anayewatoa kamasi kwa knockout kwa Kila jaribio lenu !

Kikwete aliwadekeza sana enzi za utawala wake lakini sasa ,mnataka kutufanya vifurukombe!
Mzee mbowe badala ya kueneza sera za chama chake ameamua kujikita kwenye umbea na kufuatilia maisha binafsi ya mwanaume mwenzake .AIBUUU
 

Nyie endeleeni kumjadili mwenyewe anaendelea kuburudika
 
Una wivu wa kijinga aliyepewa kapewa ,hakuna wizi Wala nini Kila na alichopangiwa na mungu
Acha kumhusisha ALLAH kwenye ushetani, kapewa nini kihalali?,hana morals kabisa na nyuma kujificha nyuma ya nyumba za ibada, bila shaka wewe ni dot.com, nenda kwenye kumbukumbu na soma kuhusu Waziri Jackson Makwetta (MHSRIP),then mlinganishe na fisadi lako hilo
 
Jakaya mwenyewe anataka kupumzika basi?
Sijui alisahau nini ktk awamu yake zaidi kuliingiza Taifa ktk mikataba mibovu kabisa!
Bora angetulia aheshimiwe pamoja na uovu ule, pia aache hujuma kwa wengine!
Obasanjo Kila siku yupo nchi mbalimbali kwenye oparesheni za kudumisha amani ya afrika ukiwa mstaafu haukai nyumbani kuku wewe
 
Back
Top Bottom