Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Akitumia mali za umma pasipostahili lazima awe agenda labda kama haujitambui na inatakiwa kuwa agenda kwa kila mtazania ili huyo mstaafu afikishwe mahakamani.
Alitumia mali umma lini we kenge? Mliandamana kwa ajili ya jk?
 
Ni hasira za kubuma kwa maandamano
 
Mzee mbowe badala ya kueneza sera za chama chake ameamua kujikita kwenye umbea na kufuatilia maisha binafsi ya mwanaume mwenzake .AIBUUU
 
Your browser is not able to display this video.

Nyie endeleeni kumjadili mwenyewe anaendelea kuburudika
 
Una wivu wa kijinga aliyepewa kapewa ,hakuna wizi Wala nini Kila na alichopangiwa na mungu
Acha kumhusisha ALLAH kwenye ushetani, kapewa nini kihalali?,hana morals kabisa na nyuma kujificha nyuma ya nyumba za ibada, bila shaka wewe ni dot.com, nenda kwenye kumbukumbu na soma kuhusu Waziri Jackson Makwetta (MHSRIP),then mlinganishe na fisadi lako hilo
 
Jakaya mwenyewe anataka kupumzika basi?
Sijui alisahau nini ktk awamu yake zaidi kuliingiza Taifa ktk mikataba mibovu kabisa!
Bora angetulia aheshimiwe pamoja na uovu ule, pia aache hujuma kwa wengine!
Obasanjo Kila siku yupo nchi mbalimbali kwenye oparesheni za kudumisha amani ya afrika ukiwa mstaafu haukai nyumbani kuku wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…