Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Hayo Mengine mimi siyajui ila hizi safari na hizi delegation hata mimi na kodi yangu hatuzipendi kabisa...; Huu ni ufujaji wa Pesa; Unajua safari moja na delegation yake inagharimu kiasi gani ?

Kina Nyerere wangefanya hivi kipindi kile dunia haijawa kijiji ningeelewa sasa hivi kuna kina Zoom n.k. hizi safari ni matumizi mabovu ya vijisenti na muda hususan kipindi hiki ambacho humu ndani mambo hayaeleweki
 
Tunataka kujua anasafiri kwa kodi za nani?kama kodi zetu sisi mbowe yuko sahihi.nchi ina matatizo mengi kwa sasa kuendelea kufisadi kodi zetu hii haikubaliki
 
Kupumzika wakati anazurura kila uchao na namba 1?
Huko angani ndio kupumzika?
Ushasikia Mwinyi akizungumziwa?
Ushasikia Sumaye akizungumziwa?

Tuliza mshono.
 
Tunataka kujua anasafiri kwa kodi za nani?kama kodi zetu sisi mbowe yuko sahihi.nchi ina matatizo mengi kwa sasa kuendelea kufisadi kodi zetu hii haikubaliki
Kwani wewe uliambiwa jk ni maskini?
 
Anasafiri kwa hela zake
 
Sehemu yenye tatizo lazima iongelewe hata kama umestaafu.Kuratibu kuivuruga nchi kwa kisingizio cha ustaafu haikubaliki mahali popote pale penye watu wenye akili timamu.Nchi hii ni kubwa haistahili kuyumbishwa na mtu mmoja kwa kisingizio cha ustaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…