Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Punguani, usilichafue jukwaa. Usidhani mtu humu JF ni punguani kama wewe.

Unatumia jina la Rais halafu unaandika upumbavu wa ajabu. Huko ni kumtusi Rais.
Wewe kenge acha kulialia humu.. hakuna baba yako hapa.
 
Sehemu yenye tatizo lazima iongelewe hata kama umestaafu.Kuratibu kuivuruga nchi kwa kisingizio cha ustaafu haikubaliki mahali popote pale penye watu wenye akili timamu.Nchi hii ni kubwa haistahili kuyumbishwa na mtu mmoja kwa kisingizio cha ustaafu.
kwahiyo amebana chemchem ya asali kwa Mwenyekiti sio? 🐒

JK hawez ruhusu tabia ya mbeleko kwa watoto wa mjini kama chairman hali ya kua anawajua in and out 🐒
 
Pumbavu kama anataka kupumzika atulie msoga , anakosa nini mpaka kila wakati kuzulula , si analipwa pesa za kodi za watu, alee wajukuu inatosha
 
sema jk wako na si jk wetu??, mwache mbowe afanye yake, kuna mijitu mizima haina akili hii nchi....ina damu ya ufisadi na itaandamwa maisha yao yote hapa duniani. Mipiga dili inapigwa hata kama kubwa vepee 😎. akapumzikie msoga na wajukuu, kutwa kuzurula na mama vepee...tawala zake zimepita, atulie ashauri mambo akiwa nyumbani tu
 
Mtoa mada, iko hivi; ikiwa unakimbizwa na anayekukimbiza akianza kutoa matusi basi jua mbio zimeshamshinda hivyo we ongeza speed tu ya kukimbia.......

Hayo mazwazwa yanayokutukana hayana hoja, ni mifala fulani hv iliyoaminishwa na bwana wao mbowe kuwa dhiki zao za kushindwa kujinunulia hata pedi zinaletwa na kikwete. Endelea kuiambia ukweli kila mara, kisha nyamaza kimya hata usijibishane nayo.
 
Haters wa jk wanachekesha sana; yaani hata dhiki zao za kushindwa kujinunulia pedi wanamsingizia jk. Mijinga kweli hii.
 
Asante sana mkuu
 
Jakaya ndiye anayetakiwa apumzishe makalio chini! azipumzishe rasilimali zetu kutwa kuzurura na Rais wetu kama msaidizi wake! Muda wako Jakaya umekwisha tuliza boli!
 
Kwani makonda SI alikuwa anapita mikoani kukivua nguo chama Cha mapinduzi kimeshindwa kuisimamia serikali
 


Kikwete ni hasara kwa Tanzania. Mwongo mwongo hajaleta katiba, treni, bwawa …. Yaani kapoteza muda sana kwa nchi hii. Hatuna demokrasia wala nini. Yaani ni hasara ya ajabu
 
Wanaitafuna sana nchii hii familia. Wawaonee Huruma watanzania wengine wasio na kipato.. Eti mafao kwa wake za Marais wastaafu. Aibu kubwa sana kwa nchi. Hata nchi matajiri duniani huu ujinga haipo.
Wewe kama nani? Kikwete lazima asakamwe unataka au hutaki
 
Mbowe ni mlipa kodi mkubwa zaidi yako wewe kinyangarakasha, muda wake wa utumishi serikalini ulikwisha lakini anaendelea kutumia kodi zetu kwa safari binafsi. Tanzania ina rais mmoja kwa wakati kwani katiba yetu haina kipengele cha rais na mkufunzi wa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…