Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Tuwe wapole basi tatizo lipo wapi?. Namkumbuka mzee Mwinyi aliyestaafu akapumzika siasa na serikali
 

Wanawake wa uswazi mnawezana wenyewe. Tena wapwani hatari sana. Hapa unaweza mchamba Mbowe mpaka afe. Mnajuana wenyewe. Mi nlishakataa kudate mwanamke wa kipwani.
 
Aaaa, mama Salmaaaa. Mbona unakuwa mkali hivyooo.
Kwani hamjashiba tu?
 
Alitaka achukuliwe yeye.

Mbowe anaonesha alilelewa kwa kudekezwa sana na wazazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…