Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??

Screenshot_20240118_131115_X.jpg
 
hope wamezungumzia maandamano ya vurugu ya mapanyarodi January 24, na hatua ya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa na kampeni ya kusafisha jiji kama tahadhati ya kudhibiti mlipuko wa kipindupindu dar...
😅😅
Huu nauona Mtego wa Serikali na mi naona ni bora isiingilie iwaache tu Waandamane maana naona Kuna Vugu vugu la chini wiki hii na ilopita amezunguka kwa mabalozi wa nchi zenye nguvu!
 
Maoni yangu ni kuwa vyama vya upinzani nchini vina haki ya kufanya maandamano ya Amani bila ya kuwekwa mizengwe maana katiba inalitambua hilo.
Nikweli lakini barabala walizopanga kufanyia maandamano hayo ni shida mfano Buguruni mpaka mwembe yenga nisawa na kusimamisha mgali yote kuanzia bandarini mpaka kimala ubungo mpaka bunju yote hiyo itakua foleni ya mwaka pia kinondoni mpaka ulipo ubarozi wa Marekani hii itawafanya watu wa dar kushinda njaa
 
😅😅
Huu nauona Mtego wa Serikali na mi naona ni bora isiingilie iwaache tu Waandamane maana naona Kuna Vugu vugu la chini wiki hii na ilopita amezunguka kwa mabalozi wa nchi zenye nguvu!
hapana wasiruhusiwe kabisa kuwaletea fujo wanaofanya kazi zao kwa amani...

hawajawahi kufanya andamano la amani hawa watu....

Haifai kuendekeza tabia mbaya ya kudekadeka, mara wanadai tume huru ya uchaguzi, kitu ambacho kilikuwepo kizuri mno kwenye rasimu ya warioba na waliridhika vizuri tume iwe kama ilivyo kwenye rasimu, lakini wakasusia bunge la katiba kudai serikali tatu ambazo haingewezekana kivyovyote kulingana na uchache wao mule bungeni...

Leo hii hawadai tena serikali tatu,
wanadai eti garama za maisha zipo juu, serikali iwajibike,
juzi walikua wanadai katiba mpya , jana bandari 😎

sasa wanachotaka ni nini hasa?
nadhani kuna kuchanganyikiwa fulani kama sio kulewa madaraka na kukosa uelekeo
 
Back
Top Bottom