Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nikweli lakini barabala walizopanga kufanyia maandamano hayo ni shida mfano Buguruni mpaka mwembe yenga nisawa na kusimamisha mgali yote kuanzia bandarini mpaka kimala ubungo mpaka bunju yote hiyo itakua foleni ya mwaka pia kinondoni mpaka ulipo ubarozi wa Marekani hii itawafanya watu wa dar kushinda njaa
Hahaha Wamechagua hayo maeneo kwa sababu za kiintellijensia naona ili wakipigwa au kuuawa watu washuhudie
 
hapana wasiruhusiwe kabisa kuwaletea fujo wanaofanya kazi zao kwa amani...

hawajawahi kufanya andamano la amani hawa watu....

Haifai kuendekeza tabia mbaya ya kudekadeka, mara wanadai tume huru ya uchaguzi, kitu ambacho kilikuwepo kizuri mno kwenye rasimu ya warioba na waliridhika vizuri tume iwe kama ilivyo kwenye rasimu, lakini wakasusia bunge la katiba kudai serikali tatu ambazo haingewezekana kivyovyote kulingana na uchache wao mule bungeni...

Leo hii hawadai tena serikali tatu,
wanadai eti garama za maisha zipo juu, serikali iwajibike,
juzi walikua wanadai katiba mpya , jana bandari 😎

sasa wanachotaka ni nini hasa?
nadhani kuna kuchanganyikiwa fulani kama sio kulewa madaraka na kukosa uelekeo
Ila kwangu mimi Ukiniuliza Nitakujibu kuwa Serikali Tatu ni wazo zuri sana
 
Itakuwa balozi wa Marekani amemwambia mbowe kuwa wewe na chama chako ni manyumbu na mafisi wakubwa. Itakuwa akaendelea kumuuliza Mbowe kuwa kwanini tangia 2004 ni wewe tu unang'ang'ania tu uenyekiti kama sumaku kwenye chuma? Kwamba kwenye chama hakuna mwingine anayeweza kuongoza isipokuwa wewe tu unayewaambia watu kuwa sumu haionjwi kwa ulimi? Itakuwa akamwambia pia mbowe kuwa ninyi kwanini hatujawahi kuwaona watoto wako au mke wako kwenye maandamano?
 
Umeshuhudia maandamano mangapi?
Unamjua James Mbowe?
Hakuwahi kuwepo kwenye maandamano?
Huu ni mkutano wa Balazi wa kwnza?

Vipi kuhusu Mpina luhaga msukuma yule na yeye ni nyumbu?
 
Kujadili hali ya kidemokrasi na Mbowe yeye kama nani nchi hii..
Balozi wa nchi Yenye Nguvu au mwakilishi wa nchi inayotawaka Dunia na UN ambapo watafikia baada ya maandamano!🤣🤣
Sehemu mlikokopa Pesa za Kutosha..
Sehemu inayochangia 75% ya GDP na Bajeti ya Taifa!
 
Umeshuhudia maandamano mangapi?
Unamjua James Mbowe?
Hakuwahi kuwepo kwenye maandamano?
Huu ni mkutano wa Balazi wa kwnza?

Vipi kuhusu Mpina luhaga msukuma yule na yeye ni nyumbu?
unao mpaka muda wa kumjadidil mpina yule jamaa wa kupima samaki waliokaangwa kwa rula na kuchoma nyavu za wavuvi wadogo 😀

nadhani hakuna haja ya yote hayo,
ungesema kwa uchache kabisa kwamba yamefanyika maandamano mengi sana yakiongozwa na haya manyumbu l yaliyofanyika tarehe au mwezi fulani mwaka fulani yalikua ya amani na yalifanikiwa pakubwa...
R.I.P akwilina
 
Back
Top Bottom