Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
hao wazungu ukiwahikikishia maslahi yao wanakupa tu izo ARV.Wakati mnakesha kila siku mnawapigia hao wazungu kuomba misaada hata ya kupatiwa bure ARV
Umehemka nyumbu 😀 bado kidogo upanic panyarodiStupid idiot
Weww ni mwanachama wa Chadema?Demokrasia gani yeye ameng'owa kipengele cha katiba aongoze milele aliahidi 2023 ndio mwisho lakini yeye kwanza anataka kugombea uraisi!
Hahaha Wamechagua hayo maeneo kwa sababu za kiintellijensia naona ili wakipigwa au kuuawa watu washuhudieNikweli lakini barabala walizopanga kufanyia maandamano hayo ni shida mfano Buguruni mpaka mwembe yenga nisawa na kusimamisha mgali yote kuanzia bandarini mpaka kimala ubungo mpaka bunju yote hiyo itakua foleni ya mwaka pia kinondoni mpaka ulipo ubarozi wa Marekani hii itawafanya watu wa dar kushinda njaa
Ila kwangu mimi Ukiniuliza Nitakujibu kuwa Serikali Tatu ni wazo zuri sanahapana wasiruhusiwe kabisa kuwaletea fujo wanaofanya kazi zao kwa amani...
hawajawahi kufanya andamano la amani hawa watu....
Haifai kuendekeza tabia mbaya ya kudekadeka, mara wanadai tume huru ya uchaguzi, kitu ambacho kilikuwepo kizuri mno kwenye rasimu ya warioba na waliridhika vizuri tume iwe kama ilivyo kwenye rasimu, lakini wakasusia bunge la katiba kudai serikali tatu ambazo haingewezekana kivyovyote kulingana na uchache wao mule bungeni...
Leo hii hawadai tena serikali tatu,
wanadai eti garama za maisha zipo juu, serikali iwajibike,
juzi walikua wanadai katiba mpya , jana bandari 😎
sasa wanachotaka ni nini hasa?
nadhani kuna kuchanganyikiwa fulani kama sio kulewa madaraka na kukosa uelekeo
Umeshuhudia maandamano mangapi?Itakuwa balozi wa Marekani amemwambia mbowe kuwa wewe na chama chako ni manyumbu na mafisi wakubwa. Itakuwa akaendelea kumuuliza Mbowe kuwa kwanini tangia 2004 ni wewe tu unang'ang'ania tu uenyekiti kama sumaku kwenye chuma? Kwamba kwenye chama hakuna mwingine anayeweza kuongoza isipokuwa wewe tu unayewaambia watu kuwa sumu haionjwi kwa ulimi? Itakuwa akamwambia pia mbowe kuwa ninyi kwanini hatujawahi kuwaona watoto wako au mke wako kwenye maandamano?
Hata Mpina amekuzidi akili Ngalo mhombuhombuMbowe na Lisu ni watumishi wa mabeberu wataendelea kusaliti harakati za watanzania kuelekea kujikomboa
Umesamaje hapo harudi tena kibaka!umehemka nyumbu 😀 bado kidogo upanic panyarodi
Balozi wa nchi Yenye Nguvu au mwakilishi wa nchi inayotawaka Dunia na UN ambapo watafikia baada ya maandamano!🤣🤣Kujadili hali ya kidemokrasi na Mbowe yeye kama nani nchi hii..
Kwani Democrasia maana Yake nini?Duh demokrasia na mwenyekiti wa kudumu wapi na wapi
Mungu Wabariki WazunguKikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
Huku CCM ina vyama vya siasa vya makwapani ambavyo huviachia linapotokea jambo ili viwavuruge wananchi.Siasa za Mmarekani daima ni "divide and rule".
unao mpaka muda wa kumjadidil mpina yule jamaa wa kupima samaki waliokaangwa kwa rula na kuchoma nyavu za wavuvi wadogo 😀Umeshuhudia maandamano mangapi?
Unamjua James Mbowe?
Hakuwahi kuwepo kwenye maandamano?
Huu ni mkutano wa Balazi wa kwnza?
Vipi kuhusu Mpina luhaga msukuma yule na yeye ni nyumbu?
Niletee picha za mke wa Mbowe akiwa kwenye maandamano ya aina yoyote ile ya CHADEMA ya mwaka wowote ule.Umeshuhudia maandamano mangapi?
Unamjua James Mbowe?
Hakuwahi kuwepo kwenye maandamano?
Huu ni mkutano wa Balazi wa kwnza?
Vipi kuhusu Mpina luhaga msukuma yule na yeye ni nyumbu?
Falsafa ni hiyohiyo tu "divide and rule".Huku CCM ina vyama vya siasa vya makwapani ambavyo huviachia linapotokea jambo ili viwavuruge wananchi.