PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kwanini huyo Balozi anaitwa Battle?Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini huyo Balozi anaitwa Battle?Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
Nijuacho mimi ni kwamba watu wenye akili kama zako ikitokea leo hii Tanzania ikavamiwa hata na Rwanda, halafu wakaiweka Tanzania chini yao kama koloni, ninyi mtaendelea kusifu ma kuabudu.Mbowe na Lisu ni watumishi wa mabeberu wataendelea kusaliti harakati za watanzania kuelekea kujikomboa
Ni kweli CCM ikomboe nini na nani zaidi ya maslahi binafsi ya viongoziHivi CCM ipo kwenye harakati gani za kujikomboa? Kujikomboa toka kwa nani?
Najua wapo Watanzania wengi wanaohangaika kujikomboa toka kwenye ukoloni wa CCM. Kumbe na CCM nayo ipo kwenye jitihada za kujikomboa!!
Azungumzie pia demokrasia kwenye chama chake hususan nafasi ya uenyekitiKikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
mawazo na maoni ya wachache yasipoungwa mkono na wengi imekua kulazimisha 🐒Kwani serekali inaona ugumu gani kuleta marekebisho ya haki ?? Kweli karne hii ni ya kulazimisha wakurugenzi wasimamie uchaguzi ? Wakurugenzi ambao wameteuliwa wengine kutoka mitaani kama makada …..
Kuna ugumu gani kuwa na Tume huru ya uchaguzi ….kwani wakiamua kupenyeza watu wa TISS bado watashindwa …au hawawaamini hata TISS >>?
Big Point
Jina tu.Kwanini huyo Balozi anaitwa Battle?
Hawana jipya hao wazungu siku hizi. Ni vikao vya kujifurahisha tu. Marekani imeshapoteza nguvu yake ya kiutawala kwenye Dunia hii kwa sasa.Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
Hamna lolote jipya hapo boss. Uchaguzi wa 2020 uliporwa na hao mabalozi wanajua, lakini hakuna lolote walifanya. Bila sisi wenyewe kufanya machafuko au mapinduzi ya kijeshi, tusitegemee lolote la maana toka kwa nchi za nje.😅😅
Huu nauona Mtego wa Serikali na mi naona ni bora isiingilie iwaache tu Waandamane maana naona Kuna Vugu vugu la chini wiki hii na ilopita amezunguka kwa mabalozi wa nchi zenye nguvu!
Ni sawa kwa hali tuliyo nayo bora tu wa-divide na ku-rule kama tunaongozwa na wasiojielewa!Siasa za Mmarekani daima ni "divide and rule".
To be honest sijui unaandikaga utoto gani?!hapana wasiruhusiwe kabisa kuwaletea fujo wanaofanya kazi zao kwa amani...
hawajawahi kufanya andamano la amani hawa watu....
Haifai kuendekeza tabia mbaya ya kudekadeka, mara wanadai tume huru ya uchaguzi, kitu ambacho kilikuwepo kizuri mno kwenye rasimu ya warioba na waliridhika vizuri tume iwe kama ilivyo kwenye rasimu, lakini wakasusia bunge la katiba kudai serikali tatu ambazo haingewezekana kivyovyote kulingana na uchache wao mule bungeni...
Leo hii hawadai tena serikali tatu,
wanadai eti garama za maisha zipo juu, serikali iwajibike,
juzi walikua wanadai katiba mpya , jana bandari 😎
sasa wanachotaka ni nini hasa?
nadhani kuna kuchanganyikiwa fulani kama sio kulewa madaraka na kukosa uelekeo
🌈Itakuwa balozi wa Marekani amemwambia mbowe kuwa wewe na chama chako ni manyumbu na mafisi wakubwa. Itakuwa akaendelea kumuuliza Mbowe kuwa kwanini tangia 2004 ni wewe tu unang'ang'ania tu uenyekiti kama sumaku kwenye chuma? Kwamba kwenye chama hakuna mwingine anayeweza kuongoza isipokuwa wewe tu unayewaambia watu kuwa sumu haionjwi kwa ulimi? Itakuwa akamwambia pia mbowe kuwa ninyi kwanini hatujawahi kuwaona watoto wako au mke wako kwenye maandamano?
Umemwonea Mkuu.Nijuacho mimi ni kwamba watu wenye akili kama zako ikitokea leo hii Tanzania ikabamiwa hata na Rwanda hapo halafu wakaiweka Tanzania chini yao kama koloni, ninyi mtaendelea kusifu ma kuabudu.
Ninyi mmeumbwa kusifu walio madarskani na si vinginevyo.
Bahati mbaya sana mnawasifu badala ya kuwasaidia, mmasubiri wafanye au waongee chochote kile ili muwasifu.
Your democracy if doesn't benefit us it's nothingKikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
View attachment 2875477
Dah Inabidi Tumuulize Mzazi wake?Kwanini huyo Balozi anaitwa Battle?
Ni sawa kwa hali tuliyo nayo bora tu wa-divide na ku-rule kama tunaongozwa na wasiojielewa!
Maisha yanazidi kuwa magumu halafu viongozi wenyewe wao wako kimya tu!
Si bora kwa majirani zetu tunawaona viongozi wao at least wanawapoza raia wao kwa maneno ya faraja
Sivyo kama unavyofikiria kijana.Ni sawa kwa hali tuliyo nayo bora tu wa-divide na ku-rule kama tunaongozwa na wasiojielewa!
Maisha yanazidi kuwa magumu halafu viongozi wenyewe wao wako kimya tu!
Si bora kwa majirani zetu tunawaona viongozi wao at least wanawapoza raia wao kwa maneno ya faraja
"tujeze" ndiyo nini? Unamaanisha "tucheze"?Kwa hiyo ulitakaje tujeze na waarabu wenzenu?
TISS wenyewe Ndo hawa wanaosukumwa na Security wa Kagame..Imefikia mahali sasa ambapo ccm hawawaamini tena usalama wa taifa wala jeshi …..kwa sababu hata huko tayari maafisa wengi wamechoka na ujanja ujanja ….na mkumbuke hawajaapa kulinda chama bali wao wanasimama na katiba ndio maana waliamua kusimama kidata kuhakikisha kuwa…Samia anakuwa Rais kwa sababu ni matakwa ya kikatiba…..siku wakiona wananchi wamechoka na kuendelea kuisaidia ccm ishinde ni kulipasua taifa nawahakikishia ndani ya usalama tuaataacha ianguke ….
SAMIA alikuwa na msimamo mzuri sana lakini wahafidhina ndani ya ccm wanamuharibia 4R yake …
kama kuzuia ujambazi wa mapanyarodi na waandamanaji haramu na majambazi ni honestly utoto, then January 24 tutajua kwamba ni siku ya usafi wa mazingira Dar kuepusha mlipuko wa kipindupindu au ni purukushani nguo kuchanika 🐒To be honest sijui unaandikaga utoto gani?!