Pre GE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe na Lisu ni watumishi wa mabeberu wataendelea kusaliti harakati za watanzania kuelekea kujikomboa
Nijuacho mimi ni kwamba watu wenye akili kama zako ikitokea leo hii Tanzania ikavamiwa hata na Rwanda, halafu wakaiweka Tanzania chini yao kama koloni, ninyi mtaendelea kusifu ma kuabudu.
Ninyi mmeumbwa kusifu walio madarskani na si vinginevyo.
Bahati mbaya sana mnawasifu badala ya kuwasaidia, mmasubiri wafanye au waongee chochote kile ili muwasifu.
 
Hivi CCM ipo kwenye harakati gani za kujikomboa? Kujikomboa toka kwa nani?

Najua wapo Watanzania wengi wanaohangaika kujikomboa toka kwenye ukoloni wa CCM. Kumbe na CCM nayo ipo kwenye jitihada za kujikomboa!!
Ni kweli CCM ikomboe nini na nani zaidi ya maslahi binafsi ya viongozi
 
mawazo na maoni ya wachache yasipoungwa mkono na wengi imekua kulazimisha 🐒

ati akina nani wapenyezwe wap?

wengi wameamua kupuuza wito wa wachache kwenye hayo mapendekezo, unang'aka hivyo sembuse hao unaosema waamue kupenyeza sijui nini wapi si utapiga yowe wew 🐒
 
Big Point

Imefikia mahali sasa ambapo ccm hawawaamini tena usalama wa taifa wala jeshi …..kwa sababu hata huko tayari maafisa wengi wamechoka na ujanja ujanja ….na mkumbuke hawajaapa kulinda chama bali wao wanasimama na katiba ndio maana waliamua kusimama kidata kuhakikisha kuwa…Samia anakuwa Rais kwa sababu ni matakwa ya kikatiba…..siku wakiona wananchi wamechoka na kuendelea kuisaidia ccm ishinde ni kulipasua taifa nawahakikishia ndani ya usalama tuaataacha ianguke ….

SAMIA alikuwa na msimamo mzuri sana lakini wahafidhina ndani ya ccm wanamuharibia 4R yake …
 
😅😅
Huu nauona Mtego wa Serikali na mi naona ni bora isiingilie iwaache tu Waandamane maana naona Kuna Vugu vugu la chini wiki hii na ilopita amezunguka kwa mabalozi wa nchi zenye nguvu!
Hamna lolote jipya hapo boss. Uchaguzi wa 2020 uliporwa na hao mabalozi wanajua, lakini hakuna lolote walifanya. Bila sisi wenyewe kufanya machafuko au mapinduzi ya kijeshi, tusitegemee lolote la maana toka kwa nchi za nje.
 
Siasa za Mmarekani daima ni "divide and rule".
Ni sawa kwa hali tuliyo nayo bora tu wa-divide na ku-rule kama tunaongozwa na wasiojielewa!
Maisha yanazidi kuwa magumu halafu viongozi wenyewe wao wako kimya tu!
Si bora kwa majirani zetu tunawaona viongozi wao at least wanawapoza raia wao kwa maneno ya faraja
 
To be honest sijui unaandikaga utoto gani?!
 
🌈
 
Umemwonea Mkuu.
Kulwa Jilala hayuko hivyo
 
Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??

View attachment 2875477
Your democracy if doesn't benefit us it's nothing

Wao wataichukulia demokrasia ktk nchi yako kua ni demokrasia ikiwa tu wananufaika kpitia demokrasia yako

Maana ake hata ukiwa dictator, iwapo tu wananufaika na u dictator wako kwao ni shangwe tu.
 
Sivyo kama unavyofikiria kijana.

Wao hawajali maisha yao, wao wanakutawala bila kujijuwa kama wanakutawala ili yao yasikwame. Wanakutumia tu, Wakimaliza kazi na wewe wankutupa na kutumia mwengine.

Usifikiri hata siku moja kuwa watakuletea ahueni wewe mlalahoi, wangewafanyia wa kwao kwanza.
 
TISS wenyewe Ndo hawa wanaosukumwa na Security wa Kagame..
Kama watoto..

View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1747953372999589928?t=aMqb8--uxeLpwh9UlOwyww&s=09
 
To be honest sijui unaandikaga utoto gani?!
kama kuzuia ujambazi wa mapanyarodi na waandamanaji haramu na majambazi ni honestly utoto, then January 24 tutajua kwamba ni siku ya usafi wa mazingira Dar kuepusha mlipuko wa kipindupindu au ni purukushani nguo kuchanika 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…