chadema iko zigzag sana,Mahakama inaenda kusikiliza madai ya Mwenyekiti kwamba amechafuliwa.
Hoja za msigwa zinapaswa kujibiwa na chama kupitia katibu mkuu kama ambavyo Lissu alipendekeza.
Lisu atakua kajifungia chumbani anamcheka Mwenyekiti wake,🤣Msigwa ni mgonjwa wa akili. Mbowe atamburuta kisawa sawa
Mbowe kama mtu binafsi ndiye katangaza kumfungulia Msigwa kesi ya defamation. CHADEMA kama chama hakihusiki. kinaweza kuhusishwa kama shahidi mahakamani ikibidi. Upinzani upo ila si kazi rahisi kupambana na chama dola au serikali yenyewe.Seriously?!
Hili ni muhimu zaidi kuliko ya kutetea Taifa?
Mnahangaika na huyu mwenzenu yes mwenzenu badala ya kufungua kesi za kulikomboa Taifa, kuwarejesha waliotekwa kujua mstakabali wa Taifa mpo na kukimbizana na mjanja mwenzenu.
Tukisema hakuna upinzani bongo ni biashara za wachache hii ndio maana yake..
Mwenyekiti ajibu hoja za aliyemchafua sio hizi sarakasi
Mnajua kuwapanga wabongo duh!
Wanaofaidi keki ya Taifa ni wengi.
Ndo ivyo mkuuSafi sana, hii imekaa kitalaamu sana. CCM ni kama shetani, anakuchochea weeeh, yakikukuta anakaa pembeni
Wacha amtie akiliDEFAMATION
Licha ya kua hakuna kesi ya maana pale,Hiyo ni kesi ya Defamation. Maana Msigwa amemtaja mbowe kama mbowe
Yaani mtu kikushtaki mahakamani iweje tena ni kujaribu kukutisha ikiwa alisema Kweli.Kwamba?
View attachment 3088582
View attachment 3088581
Mpaka hapo mbona ngoma inogile?
imhotep au nasema uongo ndugu yangu?
Yaani mtu kikushtaki mahakamani iweje tena ni kujaribu kukutisha ikiwa alisema Kweli.
Hayo ndio majibu yenyewe.Kama jambo nilauongo mtu anaongea tu ili aonekane na waliomsajili wamesajili mtu bora utamjibu nini?.Kwahiyo kama alichokiongea ni sahihi basi atajibu mahakamani ila kama yalikua maneno ya uongo ataomba samahani.simple as that.Alisema watoe majibu ndani ya chama, wajibu hoja za msigwa kwa kutoa ufafanuzi wa matumizi ya mali za chama.
Wewe unaonekana hufuatilii mambo ya siasa za nchi hii.Seriously?!
....badala ya kufungua kesi za kulikomboa Taifa, kuwarejesha waliotekwa kujua mstakabali wa Taifa mpo na kukimbizana na mjanja mwenzenu.
Kuwaumiza wananchi masikio kwakupiga makelele kwa habari za uongo nayo ni kipaji kingine cha ujinga.Aombe samahani ili tujue ilikua ni siasa nasio kweli.Kesi za kisiasa hizo zitaisha kisiasa. Msigwa aendelee kupiga spana huyo Mbowe.
Sawa, Lakini haya mambo hayajaanza kusemwa na msigwa, hata Lissu aliwahi kusema kipindi yupo kwenye mkutano pale Iringa.Hayo ndio majibu yenyewe.Kama jambo nilauongo mtu anaongea tu ili aonekane na waliomsajili wamesajili mtu bora utamjibu nini?.Kwahiyo kama alichokiongea ni sahihi basi atajibu mahakamani ila kama yalikua maneno ya uongo ataomba samahani.simple as that.
Umeandika bandiko reeefu lakini halina mantiki. Lissu alisema kuna mtu kala hizo fedha ama alisema Katibu Mkuu ndiye anayehusika na mambo ya fedha?Sawa, Lakini haya mambo hayajaanza kusemwa na msigwa, hata Lissu aliwahi kusema kipindi yupo kwenye mkutano pale Iringa.
Alisema amezoea kuona Chama hakina pesa za mikutano, lakini kwenye chaguzi za ndani kunakuwa na pesa nyingi na haijulikani zimetoka wapi.
Akaomba uongozi wa chama utoe maelezo kuhusu hilo, na akakiri kwamba chama kimevamiwa na rushwa kutoka CCM.
Hizo hoja mpaka leo hakuna aliye zijibu. Akaulizwa tena na Chief odemba kuhusu fedha za join the chain, akasema Mnyika ndyo anapaswa kujibu lakini hakuna maelezo mpaka sasa.
Chawa wamealibu pakubwa taifa hili mkuuWewe unaonekana hufuatilii mambo ya siasa za nchi hii.
Ni swala la binafsi lakini lina uhusiano mkubwa na mambo mengine kwasababu mwenyekiti ndyo mwanachama namba moja, na kila kitu lazima afahamu.Umeandika bandiko reeefu lakini halina mantiki. Lissu alisema kuna mtu kala hizo fedha ama alisema Katibu Mkuu ndiye anayehusika na mambo ya fedha?
Msigwa kamtuhumu Mbowe moja kwa moja. Hivyo ni suala la chama bali ni la kibnafsi.
Kwenye CHADEMA hakuna mwanachama mwenye sifa za upekee. Mbowe ni Mwenyekiti lakini pia ukimtuhumu kibinafsi anastahili kupambana na wewe kibinafsi nje ya chama.Ni swala la binafsi lakini lina uhusiano mkubwa na mambo mengine kwasababu mwenyekiti ndyo mwanachama namba moja, na kila kitu lazima afahamu.
Hayo ni maneno tu lakini huwezi tenganisha CHADEMA na mbowe, siku Lissu akitaja orodha ya waliokula pesa za Abduli ndyo tutajua mbivu na mbichi.Kwenye CHADEMA hakuna mwanachama mwenye sifa za upekee. Mbowe ni Mwenyekiti lakini pia ukimtuhumu kibinafsi anastahili kupambana na wewe kibinafsi nje ya chama.
Ukisema CHADEMA ujue unamaanisha ni vikao na siyo mtu. Na ndiyo maana ukitaka kuishitaki CHADEMA unaishitaki bodi ya wadhamini na siyo mtu binafsi.
Usilete mambo ya vijiweni. Mbowe ni mwenyekiti tu wa CHADEMA na siyo CHADEMA.Hayo ni maneno tu lakini huwezi tenganisha CHADEMA na mbowe, siku Lissu akitaja orodha ya waliokula pesa za Abduli ndyo tutajua mbivu na mbichi.
Mbona uwasilishwaji wa hizo hoja ni tofauti.msigwa yeye alikua anamtuhumu mbowe direct as individual na hizo hoja zingine zilikuja kwa mbowe kupitia mgongo wa chama.Na majibu yake ni mepesi tu kua kama unamashaka na mambo ya chama basi majibu nenda kwa katibu wa chama ila kama hoja umeelekeza kwa mbowe person ndio hivyo ameanza kuchukua hatua ili hizo hoja zipate majibu sahihi.Huwezi kujibu mambo ya chama majukwaani kwasababu huo sio utaratibu.wakifanya hivyo majibu yatakua yakisiasa bila ukweli au usahihi kwahiyo yanakosa mantik mbele ya macho ya wenye uelewa.Sawa, Lakini haya mambo hayajaanza kusemwa na msigwa, hata Lissu aliwahi kusema kipindi yupo kwenye mkutano pale Iringa.
Alisema amezoea kuona Chama hakina pesa za mikutano, lakini kwenye chaguzi za ndani kunakuwa na pesa nyingi na haijulikani zimetoka wapi.
Akaomba uongozi wa chama utoe maelezo kuhusu hilo, na akakiri kwamba chama kimevamiwa na rushwa kutoka CCM.
Hizo hoja mpaka leo hakuna aliye zijibu. Akaulizwa tena na Chief odemba kuhusu fedha za join the chain, akasema Mnyika ndyo anapaswa kujibu lakini hakuna maelezo mpaka sasa.
Kwa maana hiyo, kwa namna moja ama ingine mwenyekiti ana hoja za kujibu, ukimya wake unaleta mashaka, kuamua kwenda mahakamani bado sio suluhisho kwani wanachama wanataka maelezo ya ndani ya chama na sio maamuzi ya mahakama.