Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
chadema iko zigzag sana,Mahakama inaenda kusikiliza madai ya Mwenyekiti kwamba amechafuliwa.
Hoja za msigwa zinapaswa kujibiwa na chama kupitia katibu mkuu kama ambavyo Lissu alipendekeza.
mbaya zaidi hawaelewani kabisa,
kwa mfano sasa hivi uskute Makamu mwenyekiti yupo anachekea chooni muda huu juu ya anachofanya mwenyekiti, eti anaenda mahakamani 🤣