Ila ni aibu sana kuendeshwa na mtu kama Amos MakalaKinachomponza ni kwamba anamtumikia kafiri apate mradi wake, wakati huo huo CCM nao wanafunika kombe mwanaharamu apite.
Siyo kwamba hajui namna ya kufanya siasa zake, bali amesetiwa kama roboti. Anafanya wanachotaka kina Makalla.
Mkuu, mimi si tu Wakili...hao waliotajwa hapo ni rafiki na ndugu zangu. Yupo Wakili Simon Shundi Mrutu hapo ambaye nimesoma naye shahada ya kwanza; wapo Mndeme na Mwasipu niliwatangulia darasa pale UDSM.Wewe si "learned brother" mwenzao, unataka kusema hao jamaa wamekosea? Nadhani "Entity" hapo ni hao Matwiga. Au siyo wakili msomi!!
Nadhani wanamaanisha kuwa yeyote kati ya hao ataweza kusimama mahakamani. Mtazamo wako wa kisheria katika hili ukoje?
Not in this country, otherwise Bashe ndio angetakiwa atoe ushahidi kwa Mpina!From law technical side, tujadili
Mbowe ataweza kuthibitisha defermation?
sheria inasemaje? soma hapa
A crucial question arising from this line of argument is, who between the appellant and the respondent had a duty to establish the falsity or truthfulness of this allegation? In Uhuru Muigai Kenyatta v Baraza Limited [2011] eKLR Rawal J (as she then was) it was held that the information that causes the defamation, will be assumed to be untrue until the defendant proves otherwise. The onus to prove that the statement is true does not rest on plaintiff; it rests on the defendant.
Alishafikia kwenye ukingo wa kufilisika kabisa... ni kama kaokolewa na hao wanaomtumia kwa sasa. Unapoona mtu wa hadhi ya Profesa anakiri hadharani kwamba aliokotwa jalalani, watu kama kina Msigwa itakuwaje?Ila ni aibu sana kuendeshwa na mtu kama Amos Makala
Yaani credibility yote ya Msigwa imeondoka ghafla tu
akathibitishe madai yake mbele ya mahakama. wala siyo comprison analysis hapaSasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?
Yes. Hoja yangu je inaweza ikawa ni sehemu ya pingamizi. Yaani wakili wa utetezi akatuama kwenye hiyo "Technical Error" ili kufanya shauri litupiliwe mbali.Mkuu, mimi si tu Wakili...hao waliotajwa hapo ni rafiki na ndugu zangu. Yupo Wakili Simon Shundi Mrutu hapo ambaye nimesoma naye shahada ya kwanza; wapo Mndeme na Mwasipu niliwatangulia darasa pale UDSM.
Hoja yangu ni kuwa kwakuwa mwanzo mwa barua walijitaja wote, ingependeza kama wangeisaini hiyo barua/notisi wote. Au, mwanzoni ingetajwa tu kampuni ya Uwakili na hata kutumia wingi katika kueleza na mwishoni kusainiwa na wakili yeyote wa kampuni hiyo.
Hakuna jambo la kutisha lakini mkuu kwenye kusainiwa hivyo. Just curious...
😄😄 hakuna kitu Mbowe atafanya.Subiri ndo utajua hujui...msigwa sijui ataotoa wapi 5b
Kuna mtu anakatazwa kugombea uenyekiti? Au kuna mtu aliwahi kushinda Mbowe akalazimisha kubakia kwenye uenyekiti?chama anadai ni cha kidemokrasia lakini ni mara ya 5 anang'ang'ana kwenye kichwa lazima ana jambo lake.
Kabisa.Kama Msigwa kweli una hakika na ulichomtihumu Mbowe, ningeomba ujibu barua hiyo kwa mstari mmoja kama hivyi-
"Please sue".
Wewe mtu wa maporini acha kutisha watu.😄😄 hakuna kitu Mbowe atafanya.
Hacha kumtia ujinga mwenzio, hizo 5B anazo???Kesi za kisiasa hizo zitaisha kisiasa. Msigwa aendelee kupiga spana huyo Mbowe.
Aende mahakamani akadhithibitishe.Akijibiwa majukwaani ataendeleza malumbano. Yeye si anasema anao ushahidi basi akautolee mahakamani.HOJA ZA MSIGWA ZIJIBIWE
amesema aombwe front pageIngependeza iwapo angeenda Mahakamani kumshataki kabisa badala ya kutoa hilo agizo lake kiSiasa.
Manake hajatoa maelekezo kwamba huo msamaha aombe Kwa njia ipi
Lakini pia hizo 5B anazomdai zilipwe Kwa muda gani
Wewe politcal tolerance ya kwako ni ya kiwango gani?? Mtu adhallilishwe akae kimya kisa political tolerance??. Muda ukifika itabidi na wewe huwe shahidi muhimu kwenye hii case.Sasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?
Nadhani akumbushwe kwamba asiache mbachao Kwa mswala upitaoAlishafikia kwenye ukingo wa kufilisika kabisa... ni kama kaokolewa na hao wanaomtumia kwa sasa. Unapoona mtu wa hadhi ya Profesa anakiri hadharani kwamba aliokotwa jalalani, watu kama kina Msigwa itakuwaje?