smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Kavumbi ni surna!! Kwani unaliogopa?? lazima kawepo pia tukaone kidogo!! siyo lami tuuu mpaka chooni huo ni uwenda wazimu! Maji siyo changa moto Tza,Bara bara za Vumbi, na Usalama wa maji na Nishati bado ni changamoto kubwa mno.
-Hali za maisha ya Raia mmoja mmoja ni Duni mno hasa wa lw wa vijijini.
-Maendeleo yanaonekana Mijini tuu, huko Mikoani ni makao makuu ya wilaya na mikoa tuu.
kwa mwenendo huu ipo haki ya kusema kuwa bado taifa letu halijapata Muarubaini wa maendeleo.
labda km hujui kutumia akili. DSM Mvua zipo za kutosha kabisaa, Mbali na kuzungukwa na maziwa Mengi nchini
Bongo Land tuna mvua za kutosha, sasa kwa nini usigeme maji ya Mvua?? hilo nalo usaidiwe?..nenda Tarime. Moshi, Arusha, Manyara nk ukajifunze kuvuna maji, siyo unakaa uzaramoni huko tuu ndo km hivi!
Tena umetamka vizuri Maendeleo yako Mikoani. Wilayani Safi sana kumbe tuko vizuri, zamu kwa zamu sasa tunakuja Tarafani, shida iko wapi?? hivi weye ni Mtanzania kweli?
Wabongo hatupendi vya bure wewe ndo wa kwanza!! tunaamini Msaada ni hatare kwa maishaya mtu, ivi mtoa msaada akikuomba naniliu utakataa!!! sema u kweli wako?......
na wewe unajua fika tabia za Waarabu za kupenda choo!...hata kama hajakabwa!
fikiria tu Arabuni mtu mzima anatembea na ganda la kiberiti mfukoni km ugoro wajameni mwee??...unatutia aibu Bhana labda km weye ni Muarabu sawa nitakusamehe!!....