Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyosaidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anadhani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anadhani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anadhani na sisi tutakuwa na madaktari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubiri misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Makamu wake Lisu aliita Watzn wapumbavu.

Hapa kuna 2 aidha wamekata tamaa baada ya kupuuzwa au wamechanganyikiwa .

Tutawakumbusha 2025, uzuri wa teknolojia inatunza.
 
Mkuu mleta mada kwani Ujinga ni tusi?

Tafadhali sana usitumie hali yako ya kutoelewa jambo flani kuchonganisha mtu na mtu au watu na watu.

NAKAZIA: Asilimia kubwa ya Watanzania ni Wajinga.
 
Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?
Kichaa hajui kuwa yeye ni kichaa!
Punguani huwa hajui kuwa yeye ni punguani!
Mpuuzi huwa hajui kuwa yeye ni mpuuzi!
Hivyo hivyo kwa mjinga, nakuombea siku moja mleta hoja ujue ujinga wako huenda utajitambua!
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyosaidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anadhani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anadhani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anadhani na sisi tutakuwa na madaktari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubiri misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Hakuna mtu asiyekuwa mjinga.
Kwasababu, haiwezekani mtu akawa mtaalamu wa fani zote duniani. Lazima Kuna fani atakuwa hazijui( huu ndio unaitwa ujinga).
Sasa kuambiwa kuwa Kuna baadhi ya mambo sisi watanzania hatujui. Je ni uwongo?, Kama siyo uwongo kosa la Mbowe liko wapi?
 
kWANI Dubai kuna nini?? si km hapo Manzese tuuu!! ......tena bora Manzese utoana warembo weusi wakikupa Mambooo!! yaani kule nishida tu! tatizo lako unaona dubai km paradiso kwa vile hujawai fika!
-Kule Dubai Raia anapewa posho na serikali kila Mwezi ya kujikimu.,
raia anapewa Nyumba na serikali, na Bima Ya Afya Bure kwa Raia wa UAE.
-Wale watu ni Type nyingine ,wala tusijifananshe nao kamwe.
Kwa TZ hata Tuchimbe Mafuta na Gesi na kuuza wenyewe na Almasi na Dhahabu tuuze wenyewe, na watalii waongezeke kiasi mara 4 ya wanaokuja sasa, na mvua zinyeshe kwa mfululizo mzuri bila mafuriko na kuruka Miongo, Bado Serikali itaendelea kuwakaba Raia kwa nyongeza ya kodi na kupandisha bei nishati na Mafuta bila Huruma.
AMA HILI LA TATHMINI
-Tathmini ya maendeleo kwa mwandishi huyu ni Fly over za Ubungo, Tazara,Daraja la Tanzanite, na Lile la kigamboni,
pamoja na Zile Twin Towers pale Posta.
-Kweli ukipita Barabra za ubungo kimara, Bagamoyo Rd. na baadhi ya Barabara za vichochoroni utaona kuwa Tz inaendelea Fasta. lakini chepuka kidogo ingia ndani uone uozo wa Sqwaters na chchoro bila miundo mbinu.
- Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa asilimia 90% ya nchi ni Squaters.
Bara bara za Vumbi, na Usalama wa maji na Nishati bado ni changamoto kubwa mno.
-Hali za maisha ya Raia mmoja mmoja ni Duni mno hasa wa lw wa vijijini.
-Maendeleo yanaonekana Mijini tuu, huko Mikoani ni makao makuu ya wilaya na mikoa tuu.
kwa mwenendo huu ipo haki ya kusema kuwa bado taifa letu halijapata Muarubaini wa maendeleo.
 
Mkuu Mag3, naamini umeisha wahi kusoma kitabu cha "An Enemy of the People kilichoandikwa na Henrik Ibsen, kuna mstari mule ndani usemao, "The strongest man on the world is he who stands alone!", hivyo hata kama tunaomuunga mkono ni watu wanne tuu na wanaompinga ni 150, hakuna uthibitisho wowote hawa 150 ndio wako right!, tumia mfano wa Sodoma na Gomora!.
P.
Pascal, utaacha lini kupotosha kwa maksudi? Utaacha lini kuchangia kuliharibu taifa? Utaacha lini kuwa ndumila kuwili? Na utaacha lini kutumia vibaya maneno katika vitabu vitakatifu?

Hakika wewe ni zaidi ya kirusi!

Pascal wewe unajifanya Mzalendo na kila siku unajifanya kuwa unasema nyeusi ni nyeusi na si kinyume chake,

Je kwa hili la Mbowe unaamua kujipaka kinyesi ilimradi usijekatwa ktk jambo lako?

Ikiwa hata muasisi na mtekelezaji wa tozo (Mwigulu) leo ameshtuka baada ya kelele za watu eti leo wewe unajiona uko sahihi kwa kujilinganisha na sodoma na gomola?

Sasa kwa msimamo huu unaodai kuwa haujali waliowengi huko EAC utakwenda kutetea wangapi au litakuwa tumbo lako na la yule atakayekupitisha ktk vikao vya kukatana.

Haya yetu macho mzee wa fursa.
 
Hili jinga limetoka wapi? Kila siku watu wanaandika kuwa watanzania tumekuwa wajinga sana, pamoja la hili jinga jipya.
Kuchangia fedha kutoka katika vipato vyetu kwa ajili ya kuijenga nchi yetu haiwezi kuwa ujinga hata siku moja, Huu Ni uzalendo ambao hata hivyo tulikuwa tumechelewa Sana kuanza, Asante kwa mh Rais wetu kuongoza njia na kupandikiza mbegu ya Uzalendo katika mioyo yetu
 
Nimekuelewa.
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyosaidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anadhani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anadhani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anadhani na sisi tutakuwa na madaktari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubiri misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Huwezi kujenga Nchi kwa kuwakamua Wananchi wako Masikini huku SERIKALI ikiwa na MATUMIZI MAKUBWA huku WABUNGE wakilipwa MISHAHARA MIKUBWA Huku WABUNGE FAKE 19 wakilipwa MISHAHARA ya BURE
 
Hao wabunge wako 19 nenda umapambane nap huko mahakamani waliko peleka kesi yao
 
H

Hata ukiikataa lakini lazima nchi yetu iendeleee kujengwa , kero za wananchi lazima ziendelee kutatuliwa kila kukicha na kila Senti ipatikanayo lazima ipelekwe katika kugusa maisha ya watu kwa kuwapunguzia mzigo wa kero
Kuna kupunguzwa kero kweli?umesikia waziri anasema bima ya afya inaenda kufilisika alafu ww unasifia Ugolo,hv unajua hizo pesa zinaenda wapi?Watanzania wenye nia ya ukombozi hawapaswi kamwe kuwa na Akili kama za kwako,najiuliza sijui utakuwa umefika darasa la ngapi kielimu maana mmmmmm.
 
Hivi ukatwe PAYE halafu mshahara wako uingizwe kwenye akaunti yako ya mshahara, mshahara huo huo ukatwe tena tozo na bado uone poa tu kama wewe sio mpumbavu wala sio mjinga kumbe wewe ni nani basi?!
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyosaidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anadhani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anadhani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anadhani na sisi tutakuwa na madaktari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubiri misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Siku alipobadili gia angani ndio siku alipojimaliza kisiasa. Nashangaa unajadili habari za MTU aliyeshindwa siasa.
 
-Kule Dubai Raia anapewa posho na serikali kila Mwezi ya kujikimu.,
raia anapewa Nyumba na serikali, na Bima Ya Afya Bure kwa Raia wa UAE.
-Wale watu ni Type nyingine ,wala tusijifananshe nao kamwe.
Watanzania tunaamini Kazi ni Uhai! kwanini unipe posho,Nyumba,Bima, wkt nina mikono,akili,afya tele?? huo ni kwenda kinyume na Mungu! yeye alisema ''Utakula kwa kwa jasho lako'' Ukipewa Bure huna sauti!
Bado Serikali itaendelea kuwakaba Raia kwa nyongeza ya kodi na kupandisha bei nishati na Mafuta bila Huruma.
Ni haki ya serikali kukumbusha weye ujue umuhimu wa kazi ni uhai! na ulipie miundo mbinu unayo tumia na usisubili serikali ikukabe nenda mwenyewe ulipe kodi hiyo......Tangu tupate Uhuru tuna Maendeleo makubwa kuliko wazungu walio kaa humu miaka zaidi ya 400! kwanza kutoa kodi ni raha sana unakuwa huru, amani na furaha, kutumia huduma za serikali yako!...kila ukiona bara bara nzuri unajua ni kodi yako!
Tathmini ya maendeleo kwa mwandishi huyu ni Fly over za Ubungo, Tazara,Daraja la Tanzanite, na Lile la kigamboni,Afad
pamoja na Zile Twin Towers pale Posta.
-Kweli ukipita Barabra za ubungo kimara, Bagamoyo Rd. na baadhi ya Barabara za vichochoroni utaona kuwa Tz inaendelea Fasta. lakini chepuka kidogo ingia ndani uone uozo wa Sqwaters na chchoro bila miundo mbinu.
Afadhali umelijua hili ni la kujivunia mnoooo! usithubutu kuidharau tanzania yangu wewe!! Diasporas wana saidia bajeti ya serikali kifua mbele wewe!! koma kabisa sisi ndo sisi
 
Back
Top Bottom