Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Utakuwa UNASHAMBWA wewe..!!
 
Mkuu Lucas mwashambwa, kwa vile wewe bado ni kijana mdogo na ni mgeni humu jf, you will have a bright future ahead of you kama utaendelea na kazi iliyokuleta humu ya kumsifia Mama mwanzo mwisho, lakini katika kusifu kwako usianze kuparamia watu kuwaponda na kuwachonganisha!.

Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani Tanzania, hivyo zijue kwanza kazi za upinzani ni nini ndipo umvae Mbowe kumshambulia.

Nimetokea kusoma mabandiko yako yote tangu umejiunga humu jf na yote yana mwelekeo mmoja, kusifu, hivyo una wish kila mtu asifu, hata wapinzani wamsifu Mama!.

Acha Mama aendelee kufanya kazi nzuri, wanaosifu tusifu lakini pia tujifunze kuwa na uvumilivu wa kisiasa, political tolerance kwa kukubali kusikia vitu tusivyopendezwa navyo na kuukubali ukosoaji wa nia njema ya kujenga, constructive criticism hivyo waache wa wasifiaji wasifu na wakosoaji wakosoe ndiko kujenga nchi kwenyewe.

Tena unaweza usiamini, kati ya wanaomsifia Mama na wanaomkosoa, unaweza kukuta wanao mkosoa ndio wanaomsaidia zaidi kuliko wanao msifia, hivyo ndugu yangu wewe endelea tuu kusifu na uwaache wakosoaji nao waendelee huku akina sisi wakongwe pia tupo kwenye mazuri tutasifu na kwenye mabaya tutakosoa.

P
Nimeupenda mchango wako, umeendika kiweledi zaidi
 
Nikukosoe kwa mengi:

1. Lugha: anazani => anadhani. Kumbuka umerudia hivyo mara nyingi mno! Dalili za kujawa kiwewe.

2. Hoja za Mbowe ulizozifumbia macho: Yako wapi yale magari yenu pendwa yenye kutugharimu wajinga sisi mamilioni 400/- plus (kwa moja) aliyoyaongelea Mbowe ili mtanue nyie, ewe mlamba asali au kibaraka wao?

3. Ujenzi wa shule, matundu ya vyoo: wewe hukumsikia rais akishukuru pesa za Covid-19? Ghafla zimegeuka kuwa manufaa ya tozo ili kutuhadaa wajinga sisi?

4. Mikopo na misaada: wewe hukumsikia rais akielezea umuhimu wa hiyo? Kumbe hata hukumwelewa kulikoni kumtimua Ayubu? Mawazo yenu wajinga sisi hatuoni wala kusikia?

Kwa hakika wewe unafuzu kuwamo kwenye hili kundi lenu pendwa:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

5. Ungependa sana tuendelee kuwakalia kimya ili muendelee kulamba asali kwa raha zenu?

Kwa taarifa yako tunaomuunga mkono mh. Mbowe tuko wengi kuliko ninyi wote walamba asali, vibaraka na chawa kwa pamoja.

Mwisho wenu uko karibu. Tukutane Tahrir:

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
 
Lucas mwashambwa mambo vipi? Nimeona nikufuate huku private. Eee bwana jitahidi kumtetea mama usiache. Kama ambavyo tuliambiwa kwenye ile meeting ya mwisho kuwa piga ua tutetee tu ili hawa wapinzani wasipate pa kusemea.hili la tozo linaumiza watanzania ila tusiache. Hapa sasa tutumie IDs zetu zote. Pia usisahau kutupia hii link kwenye group ili wadau wengi waje kutetea. Na uwakumbushe admin kuwa ni wewe wawe wanahesabu maana huwezi jua zikitoka teuzi...
 
Mchonganishi huyu CCM jr.
Post zake za kiwaki kinoma. Anataka kusema Mbowe kaongea kitu hatunacho.
Mjomba Rudi Mbeya
 
Nimeupenda mchango wako, umeendika kiweledi zaidi
Kama kazi ya upinzaaniii ni kukosoa kila kitu na kwa kila Jambo lazima ijulikane na ifahamike kuwa Ni Haki yangu nami pia kueleza Yale aliyo yafanya mh Rais wetu, Haki haiwezi ikawa kwa mkosoaji pekee halafu kwangu ikawa Ni ushambuliaji, Anayo haki hiyo mh Mbowe ya kukosoa, lakini nami pia ninayo haki ya kumtetea mh Rais kwa kuwa aliyoyafanya na kuyatekeleza ninayaona na yanaonekana , Hivyo siwezi kujipa ukipofu wa kuamua kukaa kimya tu

Lakini pia lazima ujuwe upinzani wa Tanzania Ni tofauti Sana na wanchi zilizoendelea maana upinzani wa wenzetu Ni kuwa wanakosoa mahali panapohitajika kuboreshwa na wanasifia na kupongeza mahali palipofanyika kazi nzuri

Wenzetu walioendelea wanaweza wakapongeza Sera lakini wakakosoa utekelezaji wake, na wakashauri njia iliyo Bora, wenzetu Taifa mbele vyama baadaye wakati huku kwetu ni kupingaa tu kila kitu ilimradi tu kinatekelezwa na Serikali

Upinzani wa Tanzania hauna dira Wala Sera Wala ajenda yoyote Ile wanayosimana, wao wanaendeshwa na vimatuikio tukio tu ,Wao Ni kupinga kila kitu tu na ukisema umsikilize kila mtu utajikuta unakosa muelekeo Kama wao,

Mkuu Tanzania hatuna upinzani wenye kuleta ushawishii kwa wananchi ndio maana unaona wamepuuzwa kwa Sasa na Wala hawatiliwi maanani Kama enzi hizo za Dr slaa ulipokuwa upinzani wa hoja nzito nzito, ajenda kwa Sasa zimebebwa na kufanyiwa kazi na mh Rais,

Hivi mkuu mwandishi nguli unaweza ukasema kwa Sasa Kuna mbadala wa CCm hapa Tanzania? Hapana haupo ndugu yangu, angalia tu hata safu yao ya uongozi ndio utajuwa na kupata picha, angalia tu hata muundo wa baraza kimvuli walilokuwa nalo awamu iliyopita ambayo ndio Taswira yake ya klimu waliyokuwa wanaitegemea,, Sasa nikuulize je unaona ndio baraza lingetuvusha lile Kama nchi?

Wao kushambulia na kutukana kwao Ni kawaida, kwani wewe ni Mara ngapi wamekushambulia na kukutukana kwa kutumia Uhuru wako tu kueleza mtizamo wako? Wamekuvunjia heshima mara ngapi? Hata vitoto vidogo vimekutusi, je ndio misingi ya demokrasia hiyo ya kutukanana? Je hatufundishani kuvumiliana na kukosoana kwa heshima na staha hata kwa tunaotofautiana nao? Je unaona upinzani wakilifanya Hilo? Mara ngapi wamewadhalilisha watu bila sababu, wangapi manguli wa mijadara wameamua kukaa kimya humu kwa kuogopa kuogeshwa matusi na watoto wadogo kiumri?
 
Lucas mwashambwa mambo vipi? Nimeona nikufuate huku private. Eee bwana jitahidi kumtetea mama usiache. Kama ambavyo tuliambiwa kwenye ile meeting ya mwisho kuwa piga ua tutetee tu ili hawa wapinzani wasipate pa kusemea.hili la tozo linaumiza watanzania ila tusiache. Hapa sasa tutumie IDs zetu zote. Pia usisahau kutupia hii link kwenye group ili wadau wengi waje kutetea. Na uwakumbushe admin kuwa ni wewe wawe wanahesabu maana huwezi jua zikitoka teuzi...
Acha unafiki wewe, ulikaa na Nani au umekosa hoja
 
Mkuu Lucas mwashambwa, kwa vile wewe bado ni kijana mdogo na ni mgeni humu jf, you will have a bright future ahead of you kama utaendelea na kazi iliyokuleta humu ya kumsifia Mama mwanzo mwisho, lakini katika kusifu kwako usianze kuparamia watu kuwaponda na kuwachonganisha!.

Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani Tanzania, hivyo zijue kwanza kazi za upinzani ni nini ndipo umvae Mbowe kumshambulia.

Nimetokea kusoma mabandiko yako yote tangu umejiunga humu jf na yote yana mwelekeo mmoja, kusifu, hivyo una wish kila mtu asifu, hata wapinzani wamsifu Mama!.

Acha Mama aendelee kufanya kazi nzuri, wanaosifu tusifu lakini pia tujifunze kuwa na uvumilivu wa kisiasa, political tolerance kwa kukubali kusikia vitu tusivyopendezwa navyo na kuukubali ukosoaji wa nia njema ya kujenga, constructive criticism hivyo waache wa wasifiaji wasifu na wakosoaji wakosoe ndiko kujenga nchi kwenyewe.

Tena unaweza usiamini, kati ya wanaomsifia Mama na wanaomkosoa, unaweza kukuta wanao mkosoa ndio wanaomsaidia zaidi kuliko wanao msifia, hivyo ndugu yangu wewe endelea tuu kusifu na uwaache wakosoaji nao waendelee huku akina sisi wakongwe pia tupo kwenye mazuri tutasifu na kwenye mabaya tutakosoa.

P
Samahani mkuu naomba uangalie namba 134 nimekujibu kule
 
Yes namuunga mkono sana huyu kijana Lucas mwashambwa ni hazina sana humu jf kwasabu kwa kiasi fulani tunafanana kwenye appreciation, tofauti yake na mimi, yeye kazi yake ni kusifu tuu!, mimi nasifu only pale panapostahili sifa, ila pia nakosoa panapostahili ukosoaji na kushauri the right thing to do right kwenye baadhi ya mambo ambayo nayaona that they are not right, or we did not do them right.
P
Nimekujibu naomba uangalie post #134
 
Zambia miaka ya nyuma Bei ya mkate ilipanda watu wakaandamana, sisi tunanyang'anywa pesa zetu tunakimbilia nitandaoni kuchat na kulalamika, kwa mara ya Kwanza nakuwa upande wa Mbowe ahsante kutuheshimu na kutuita jina ambalo linatamkika.

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Sisi tunachangia kupitia vipato vyetu ili tijijengea nchi yetu na hatutaki tuweke nchi yetu rehani kwa madeni, Hukusikia habari za mchina kuchukua baadhi ya miradi katika baadhi ya nchi hapa Afrika Kama sehemu ya kufidia madeni anayodai? Sisi hatutaki tufike huko Wala kusogelea huko maana Ni hatari kwa usalama wetu Kama nchi
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Kama we ndio mjinga kabisa Mbowe alitakiwa akutumie kama mfano kwa huu utumbo ulioandika hapa.
 
Kuna post namba 134 nimekujibu wewe Ila nilidhamiria kumjibu mayala na Ni jibu kwa mwandishi wetu huyu wa habari, naomba uelewe hivyo usije ukaona Kama sijaeleweka ukilinganisha na ulichokuwa umeandika
Mleta uzi ni msomi wa hali ya juu,unachambua hoja,na wananchi tumekuelewa,Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom