Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

N
Mwamba Mbowe katoa neno mataga wote povu linatoka utazani mlevi wa gongo kutoka Buza

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Neno gani Hilo ndugu yangu unaloweza msifia, yaani matusi na dharau kwetu watanzania ndio neno, halafu anataka aungwe mkono na Nani? Watanzania Tupo na mh Rais wetu bega kwa bega
 
Mbowe yupo sahihi kwa sababu ujinga si tusi bali ni sifa/hulka! Ujinga unatokana na kutokujitambua!
Lakini hata kama neno ujinga lingekuwa tusi bado Mbowe angekuwa sahihi kabisa!
Ujinga upo! Na wajinga wapo!
Haiwezekani viongozi wa serikali waishi kifahari zaidi ya wafanyabiashara!
Haiwezekani viongozi wa serikali watumie nafasi zao kufanya uwekezaji mkubwa kama inavyotokea sasa.
Ni katika nchi ambayo wananchi ni wajinga hayo mambo ya kijinga yanaachwa yafanyike kijinga jinga!

Mbowe yupo sahihi sana!
Tatizo la Watanzania wengi ni ujinga!
Wanafikiri mtu akiwa kiongozi basi ni malaika au jini... wanamshitakia kwa MUNGU!
Ni waambie hivi... MUNGU hawezi kudeal na viongozi mliwachagua kijinga jinga!
 
Vitu alivyovifanya mh Rais wetu Ni vingi Sanaa ambavyo ukianza kuvielezea huwezi hata kuvimaliza
Eti WANANCHI wamejitoa kujenga nchi🤣 hii nchi inajengwa au inabimolewa📌
Kwenye hotuba nzima umeona kipande hiko Tu!!!
At least Mbowe kasema KERO zetu sio wewe na nyuzi zako za kumsifia kutwa mpaka zinapoteza maana
 
Vitu alivyovifanya mh Rais wetu Ni vingi Sanaa ambavyo ukianza kuvielezea huwezi hata kuvimaliza
Yes anafanya vitu vingi, kwenye kasoro lazima akosolewe kwa Sasa jambo lililopo kipaumbele kwenye midomo na akili za watanzania wengi ni Tozo ila sijawahi ona Uzi wako hata mmoja ukizungumzia hili zaidi ya kusifia utendaji wa rais.
 
Kwanza nakushukuru kwa kukiri kuwa mh Rais wetu anafanya na amefanya vitu vingi sana vizuri, pili Hilo suala la tozo nimelielezea Sana humu kuwa Ni wakati wetu watanzania kuona fahari katika kuijenga nchi yetu, ni wakati wakupita njia waliyopitia wenzetu walioendelea, Ni wakati wakujiinyima na kujibana kiasi katika vipato vyetu ili kuijenga nchi yetu,

Njia ya mafanikio Kama nchi siyo fupi Wala mkato, Tumuunge mkono Rais wetu mpendwa katika dhamira yake hii njema ya kuijenga nchi yetu
 
Yaani katika comments 27 zote zinakushambulia na kuungana na Mbowe kasoro comments 6 tu na katika hizo 6, nne ni za kwako mwenyewe mtoa mada

Jitafakari sana na wanaohusika watafakari mawazo ya watu walio wengi. Ni vyema kusoma alama za nyakati
 
Kwanza nakushukuru kwa kukiri kuwa mh Rais wetu anafanya na amefanya vitu vingi sana vizuri, pili Hilo suala la tozo nimelielezea Sana humu kuwa Ni wakati wetu watanzania kuona fahari katika kuijenga nchi yetu, ni wakati wakupita njia waliyopitia wenzetu walioendelea, Ni wakati wakujiinyima na kujibana kiasi katika vipato vyetu ili kuijenga nchi yetu,

Njia ya mafanikio Kama nchi siyo fupi Wala mkato, Tumuunge mkono Rais wetu mpendwa katika dhamira yake hii njema ya kuijenga nchi yetu
Lucas si Bure nimenyanyua mikono🙌 endelea na kampeni
 
Yaani katika comments 27 zote zinakushambulia na kuungana na Mbowe kasoro comments 6 tu na katika hizo 6, nne ni za kwako mwenyewe mtoa mada

Jitafakari sana na wanaohisika watafakari mawazo ya watu walio wengi. Ni vyema kusoma alama za nyakati
Jambo jema au hoja ya ukweli haiangalii na Wala haipimwi Kama unavyotaka kutuaminisha,Nenda kasome habari za Galileo ndio utaelewa vyema hiki nachokueleza hapa
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, Ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi Ni wajinga, Nimesikitika Sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba mh Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi

Kwamba Mbowe haoni namna Jambo Hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata Elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania Ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata Miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka Nani atujengee nchi yetu, anataka Nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni Hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia Nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za mh Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa Nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, Tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, Tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, Tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, Tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, Tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa Kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri

Mh Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana Tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano,

Ombi langu na ushauri wangu kwa mh Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa Asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, Tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, mh Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega
Hii nchi ina wajinga wengi sana!

Sasa hapa ndiyo umeandika nini? Maelezo marefu!! Pointi hakuna.
 
Ukishamaliza kutumika tutakukuta jalalani
 
Japo sio mfuasi wa mbowe, na sitarajii kuwa; ila neno mjinga sio tusi bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu kwa wakati fulani. Na endapo atakubali kupata uelewa basi hali hiyo huondoka. Mjinga kutokukubali ujinga wake kunasababisha awe zaidi ya mjinga yaani mpumbavu!

Mjinga ni mtu anayeweza kujifunza na kuondokana na ujinga wake.
Ila sasa kuna wajinga ambao pamoja na ujinga wao bado wanajiona wapo sawa hata wakifanyiwa mambo ya kijinga na wajinga!
Na kwa sababu ya ujinga wao hawana uwezo wa kuelewa chochote wenye akili wakitoa hoja za kutafakarisha!
Mfano mzuri hili jambo la kulazimisha tozo!
Akili ya kawaida ni dalili za wizi na ubadhirifu!
Lakini wengine hawaoni hilo hivi ninavyoandika wapo bize kuandaa maandamano matamko kwa ajili ya kuwapongeza watozaji!!

Aibu sana!
 
Japo sio mfuasi wa mbowe, na sitarajii kuwa; ila neno mjinga sio tusi bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu kwa wakati fulani. Na endapo atakubali kupata uelewa basi hali hiyo huondoka. Mjinga kutokukubali ujinga wake kunasababisha awe zaidi ya mjinga yaani mpumbavu!

Mjinga ni mtu anayeweza kujifunza na kuondokana na ujinga wake.
Kwamba Kujenga nchi yetu wenyewe Ni ujinga?
 
Back
Top Bottom