Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, Ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi Ni wajinga, Nimesikitika Sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba mh Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi

Kwamba Mbowe haoni namna Jambo Hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata Elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania Ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata Miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka Nani atujengee nchi yetu, anataka Nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni Hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia Nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za mh Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa Nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, Tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, Tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, Tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, Tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, Tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa Kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri

Mh Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana Tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano,

Ombi langu na ushauri wangu kwa mh Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa Asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, Tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, mh Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega
Wewe ni mpumbavu kaka, bilion 600 kwa ajir ya sensa na walichokihesabu ni upumbafu tu hiyo ela si ingejenga ata kiwanda cha mkaa wa plastic ili watanzania wanufaike na wew ulivo mjinga umekubar kuwa toilet paper kazana
 
Tutamsema pale kinywa chake kikifunguka na kutoa maneno ya taharuki na kukosa heshima kwa mamlaka, hata samaki hunaswa na mvuvi Mara tu afunguapo kinywa chake
Kama mtu unashindwa kuutambua ujinga hata ukikutana nao uso kwa uso, wewe ni mpumbavu!

Kama wewe Lucas mwashambwa huwezi kuuona ujinga uliotamalaki ndani ya taifa hili wewe ni mpumbavu!

Kwa Watanzania ujinga si tusi ni sifa japo tu kwa yule tu anayeweza kuutambua kwa umbo lake.

Kama hata hilo huwezi wewe ni zaidi ya mjinga, ni mpumbavu tena mpumbavu wa kutupwa.
 
Sasa kwani Watanzania siyo wajinga?
Hivi wewe inakuingia akilini kweli kwa serikali ya nchi masikini viongozi wake kutaka ufahari wa kutumia Magari ya kifahari wakati raia wake wanaishi maisha mabovu?
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, Ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi Ni wajinga, Nimesikitika Sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba mh Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi

Kwamba Mbowe haoni namna Jambo Hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata Elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania Ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata Miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka Nani atujengee nchi yetu, anataka Nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni Hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia Nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za mh Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa Nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, Tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, Tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, Tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, Tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, Tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa Kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri

Mh Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana Tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano,

Ombi langu na ushauri wangu kwa mh Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa Asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, Tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, mh Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega
Nakazia, wewe ni namba 1.
 
Kama hayo manufaa tunayaona leo ujue kuna 60 years of failure hapo nyuma
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Uongo wake nini.
Linganisha ujuha wetu na jirani zetu kenya, sisi ni majuha wakuuu namba moja
 
Watz sio wajinga, ni wapumbavu Sana. Tunaongozwa na ccm miaka 60 na na hamna maendeleo yoyote? Si upumbavu huo!
 
Siyo tatizo lako, ni elimu. Kama hata kuandika tu sentensi ya Kiswahili iliyonyoka ni shida, unaamini bado utakuwa na uwezo wa kutafakari na kuchambua hoja za Mbowe?

Anazani, anazani, anazani -- hilo neno ni la lugha gani? Kwenye Kiswahili halimo.

Pili, ufahamu kuwa ukiwa mwizi, mtu akakuambia kuwa wewe ni mwizi, haliwi tusi, bali amekueleza jinsi ulivyo. Mathalani mtu akikueleza wewe kuwa kwenye lugha yetu ya Kiswahili ni mjinga, hajakutukana bali amekuelezea kiusahihi jinsi ulivyo.

Tatu, neno lenyewe, ujinga, siyo tusi, bali ni hali ya mtu kukosa ufahamu. Ukweli ni kwamba, pamoja ni jitihada kubwa za kutaka kuufuta ujinga, bado ujinga ni tatizo kubwa kwa Tanzania. Tatizo hilo lipo kwa ambao hawajaenda shule na kwa walioenda shule. Wengi wa walioenda shule wanajua tu kukariri, lakini hawana maarifa. Na baadhi walio na maarifa na uelewa, kwa sababu ya unafiki, huyaweka maarifa na elimu zao pembeni, na huamua kuungana na wajinga ili nao waonekane ni miongoni mwa wajinga, kwa sababu ujinga na unafiki, kwa Tanzania, kuna wakati, unalipa zaidi kuliko kusimama kwenye uelewa na maarifa.

Wewe unaonekana ni mjinga hata wa habari mbalimbali. Madarasa hayakujengwa kwa pesa ya tozo, bali kwa pesa ya mkopo nafuu wa Covid 19. Hayo yalielezwa na Serikali, naona ulipitwa au umeamua kuuacha ukweli, ili uutumikie ujinga.
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Alafu Pascal Mayalla akuunga mkono pia!
 
Nonsense
 
.Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo
Mkuu Lucas mwashambwa, kwa vile wewe bado ni kijana mdogo na ni mgeni humu jf, you will have a bright future ahead of you kama utaendelea na kazi iliyokuleta humu ya kumsifia Mama mwanzo mwisho, lakini katika kusifu kwako usianze kuparamia watu kuwaponda na kuwachonganisha!.

Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani Tanzania, hivyo zijue kwanza kazi za upinzani ni nini ndipo umvae Mbowe kumshambulia.

Nimetokea kusoma mabandiko yako yote tangu umejiunga humu jf na yote yana mwelekeo mmoja, kusifu, hivyo una wish kila mtu asifu, hata wapinzani wamsifu Mama!.

Acha Mama aendelee kufanya kazi nzuri, wanaosifu tusifu lakini pia tujifunze kuwa na uvumilivu wa kisiasa, political tolerance kwa kukubali kusikia vitu tusivyopendezwa navyo na kuukubali ukosoaji wa nia njema ya kujenga, constructive criticism hivyo waache wa wasifiaji wasifu na wakosoaji wakosoe ndiko kujenga nchi kwenyewe.

Tena unaweza usiamini, kati ya wanaomsifia Mama na wanaomkosoa, unaweza kukuta wanao mkosoa ndio wanaomsaidia zaidi kuliko wanao msifia, hivyo ndugu yangu wewe endelea tuu kusifu na uwaache wakosoaji nao waendelee huku akina sisi wakongwe pia tupo kwenye mazuri tutasifu na kwenye mabaya tutakosoa.

P
 
Alafu Pascal Mayalla akuunga mkono pia!
Yes namuunga mkono sana huyu kijana Lucas mwashambwa ni hazina sana humu jf kwasabu kwa kiasi fulani tunafanana kwenye appreciation, tofauti yake na mimi, yeye kazi yake ni kusifu tuu!, mimi nasifu only pale panapostahili sifa, ila pia nakosoa panapostahili ukosoaji na kushauri the right thing to do right kwenye baadhi ya mambo ambayo nayaona that they are not right, or we did not do them right.
P
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
90% waliokujibu wako against hoja yako.
Umejikita kwenye kusifu lakin huelezei kwann tena in details with facts kupinga hizo hoja?

Kama huoni tatizo liko wapi basi ww ni moja ya wajinga
 
Hivi Tanzania yetu aliyetuloga ni Nani kama wake tunaitarajia walete mabadiliko ndio Hawa wanaleta nyuzi za kipuuzi naziita!
Vijana wa Lumumba mmekuwa ZERO brain.
Na hata mleta uzi mmoja wao!
Tubadilikeni.
 
Bila Shaka ulishayazoea matusi ya mh Mbowe kila unapotukanwa, Ila sisi watanzania tunasema atuache tuijenge nchi yetu maana tunajuwa yeye Mbowe anashinda Dubai
Samahani kiongozi, je , una Ndugu ndani ya Tanzania?Kama unao wafikirie kwanza wao usifikirie tumbo lako.Maana una bwabwaja tu humu ndani kwa ajili ya tumbo lako.
 
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha Kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushituka Sana video inayomuonyesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.

Ndugu zangu yaani Mbowe anatutukana watanzania kisa tu tumeamua kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe? Kwamba Mh. Mbowe haoni namna moyo na uamuzi huo wa kuamua kujenga nchi yetu ulivyo saidia kusogeza huduma muhimu kwa mwananchi.

Kwamba Mbowe haoni namna jambo hilo lilivyosaidia watoto wa wanyonge kupata elimu bila shida kwa kwenda shule kwa wakati baada ya kuwa madarasa yamejengwa na kukamilika kwa wakati?

Kwamba mh Mbowe anafikiri sisi watanzania ni vipofu kwamba hatuoni namna kwa Sasa ambavyo huduma za maji umeme na hata miundombinu ilivyoboreshwa na kusogezwa kwa mwananchi?

Kwamba mh Mbowe anazani sisi wote watanzania tuna mapesa mengi Kama yeye? Anazani sote tutakwenda Ulaya kusoma au kutibiwa, anazani na sisi tutakuwa na madakitari binafsi?

Anataka nani atujengee nchi yetu, anataka nani awajibike kwa niaba yetu Katika kubeba mzigo wetu, anataka tuijenge nchi yetu kwa madeni? Anataka tuijenge kwa misaada? Je hiyo mikopo na misaada tutaipokea Hadi lini? Tutalipa madeni hadi lini? Kwamba hata matundu ya vyoo tukakope na kusubili misaada itufikie? Je wakati huo wanafunzi watakuwa wanatumia nini? Au watapanga foleni kusubiri matundu yaje kwa ndege?

Kwanini asipongeze juhudi za Mh. Rais wetu kuongoza njia katika kuijenga nchi yetu kwa kujitegemea wenyewe? Kwa nini asimuunge mkono Rais katika kuhakikisha tunapunguza mzigo wa madeni kwa nchi yetu, anataka tukope mpaka tuweke rehani vitu vyetu, anataka tukope mpaka tushinde tunafanya kazi ya kulipa tu madeni bila kufanya maendeleo.

Watanzania tunasema kuwa sisi siyo wajinga, siyo wajinga watanzania, tumeamua kuijenga nchi yetu wenyewe, tumeamua kubebaa mzigo wetu wenyewe, tumeamua wajibu wetu uwe juu ya mabega yetu, tumeamua kuwa acha tuumie leo lakini tufaid matunda yake kesho, tumeamua vizazi vijavyo vijuwe kuwa kuna kizazi kilipita na kilikuwepo ambacho kilitekeleza wajibu wake vyema ili wao waishi vizuri.

Mh. Mbowe atuache tuijenge nchi yetu, asitukatishe tamaa maana tumeamua kusonga mbelee, atupishe mbele katika kuibeba nchi yetu,tupo katika kuipambania nchi yetu kuhakikisha inasimama na kupigiwa mfano.

Ombi langu na ushauri wangu kwa Mh. Rais wetu Kama kijana wake mtanzania napenda kumwambia kuwa asikatishwe tamaa Wala kuvunjika moyo, tumeona juhudi zake na tupo tunamuunga mkono ,maana kazi zake zimegusa maisha yetu watanzania, Mh. Rais wetu mpendwa songa mbele bila hofu wananchi tupo nawewe bega kwa bega.
Kwani unafikiri tulishakuwa wajanja lini,ujanja wetu ufisadi,uzembe na uvivu basii🤔
 
Wewe ni Mpumbavu.
 
Back
Top Bottom