Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

Anawakati mgumu kutetea kiti chake. Nadhani wanaHai wananoelewa. Angebaki kuwa mwenyekiti aimarishe chama chake.
Anyway, tukutane oktoba
Sio kweli,Mbowe ni mbunge wangu Hai...Hai Ccm ilishajifia siku nyingi mnooo, na hata kama yupo wa kuichallenge CDM, kwenye kura 10 atapata kura 3 tu!
 
Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ) , leo tena amepitishwa na wajumbe wa Chadema wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo
View attachment 1516652View attachment 1516653View attachment 1516654
Pole sana Mh Mbowe, Ubunge mwaka huu 2020 utausikia tu kwenye bomba. najua hapa mtandaoni vibaraka wako wataishia kukusifia tu ili walipwe posho zao ila uhalisia ni kwamba wana Hai hawakuhitaji tena wakati huu

Naomba nyie vibaraka wa Mbowe mnaoogopa kumueleza ukweli hifadhini hii comment kisha baada ya Uchaguzi tukutane hapa
 
Mtu unayeamini Mbunge ana pesa za kubadilisha maisha ya wananchi wa jimbo lake ni kichaa uliyechangamka.

Elewa kwamba kazi ya mbunge ni kuwasemea wananchi na kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi, hayo mengine mnayoyataka ni matokeo ya kukosa uelewa na kibri cha kukataa kupewa uelewa.
Acha Ujuha wewe.
 
Freeman Aikaeli Mbowe Kamanda Wa Anga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nyie ndo huwa mnasema kuchaguliwa kwa 100% ni udikteta sasa leo mnafulahia 99% na bado mnaona alitakiwa kufika 100%?
Yaani akiri zenu ni sawa na tiara inavyorushwa na upepo.
Hamueleweki.
Kati ya wanachama wenye double standard basi ni wa hawa.
 
Pole sana Mh Mbowe, Ubunge mwaka huu 2020 utausikia tu kwenye bomba. najua hapa mtandaoni vibaraka wako wataishia kukusifia tu ili walipwe posho zao ila uhalisia ni kwamba wana Hai hawakuhitaji tena wakati huu

Naomba nyie vibaraka wa Mbowe mnaoogopa kumueleza ukweli hifadhini hii comment kisha baada ya Uchaguzi tukutane hapa
Mtu uko Mchamba wima ya Hai utayajulia wapi ?
 
Back
Top Bottom