Sijaona sababu ya kunitusi kichaa naongea mazingira ninayo yajua nje ndani na Hali halisi ya wananchi wengi why uniite kichaa!!?
Hafu Mimi ni timamu kwahyo unaona mbunge akipata ubunge asishiriki kazi za kijamii aondoke arudi siku ya kura tu hao kina bonah kamoli wanaoshiriki kazi za kijamii jimboni mwao wanatoa hela mifukoni mwao?
Hivi tulia alivoweka kambi huko mbeya alitoa hela mfukoni Kuna vitu vya kutetea na sio hyo tabia ya kutelekeza Jimbo hafu wajiita mwenyekiti wa Chama kuwananga ccm, kumbe na wewe walewale tu.