Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

Mbowe hana mpinzani pale hai,
Mh; tupunguze japo ukali wa maneno basi. Wa milele ni Mungu peke yake tukihemuka sana basi angalau wa maisha even if it is so odd! Wa milele? How?
 
Magufuli akipata 99%, mnatukana na kukebehi, Mangi Mbowe kapata 99% ni Democracy. Wanafiki nyie musemamzo hayo
 
Anawakati mgumu kutetea kiti chake. Nadhani wanaHai wananoelewa. Angebaki kuwa mwenyekiti aimarishe chama chake.
Anyway, tukutane oktoba
Subirin muone unafikir movie yenu muliyoiandaa kipindi kile ya kuzomea itawasaidia ngoja muda ufike
 
Udikteta huo, utashindaje kwa 99%.

Ole wake kwa huyo aliyeharibu kura.
 
Anawakati mgumu kutetea kiti chake. Nadhani wanaHai wananoelewa. Angebaki kuwa mwenyekiti aimarishe chama chake.
Anyway, tukutane oktoba
Ushauri huo ungejaribu kuutoa huko kwenu ungekuwa umeshafukuzwa uanachama, kwa kosa la 'kumtukana'.
 
Mbowe hana siasa za chuki, I like him for that.
Unadhani kauli iliyotolewa ya " Sumu haionjwi kwa ulimi ".., ni kauli ya siasa za upendo! Fumbua macho uone, Mkuu achana na mleta mada na ngebe zake.
 
Back
Top Bottom