Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

Huyo mbowe wananchi wamnyime tu kura akishapata tu kura haonekani Tena jimboni
 
Huyo mgombea wa CCM mchovu, Ila mbowe naye halitendei haki Hai bwana there is no difference aliyoleta
Mkuu pamoja na usomi wako. Unaamini mbunge ana wajibu wa kuleta maajabu jimboni,
Hivi wabunge huwa wanakusanya kodi ?

Mambo ya kuleta tofauti unatakiwa kuwauliza watendaji wa serikali, mbunge ni spokesman tu.
 
Mimi ni msomi ndio haiwezekani ukishapigiwa kura hurudi Tena jimboni Wala hushiriki lolote la wananchi wako, hajawahi zungumzia lolote hata madiwani hawaonekani Tena ni Kama Jimbo ni yatima Bora aje mtu atakayeshirikiana na wananchi bega kwa bega hyo ya kukusanya Kodi sijui Nini ni kichaka Cha kutokuwajibika kwa wapiga kura wako.
Jamani usitee uzembee ukipata kura huonekani sikuona wananchi wajinga
 
Nyie ndo huwa mnasema kuchaguliwa kwa 100% ni udikteta sasa leo mnafulahia 99% na bado mnaona alitakiwa kufika 100%?
Yaani akiri zenu ni sawa na tiara inavyorushwa na upepo.
Hamueleweki.
Akiri au akili
 
Hongera Mbowe kwa kuamua kustaafu kwa aibu. Jimbo la Hai officially ni jimbo la CCM
 
Mimi ni msomi ndio haiwezekani ukishapigiwa kura hurudi Tena jimboni Wala hushiriki lolote la wananchi wako, hajawahi zungumzia lolote hata madiwani hawaonekani Tena ni Kama Jimbo ni yatima Bora aje mtu atakayeshirikiana na wananchi bega kwa bega hyo ya kukusanya Kodi sijui Nini ni kichaka Cha kutokuwajibika kwa wapiga kura wako.
Jamani usitee uzembee ukipata kura huonekani sikuona wananchi wajinga
Nini ambacho wewe ulitaka akifanye ili uone kwamba anashiriki kulijenga jimbo lake ?

Au unaamini wasiozungumza bungeni huwa hawawasiliani na mawaziri husika in person kuwasilisha shida za watu wao?

Magufuli akiwa mbunge na waziri wa ujenzi alipotembelea jimbo la Hai aliwahi kumpa sifa na heshima zote Mh Mbowe kwa utumishi wake uliotukuka halafu wewe laywoman unadai hakuna chochote anachofanya, labda utakuwa haujalewa.
 
😆😆😆
 
Hamna alichofanya huko jimboni acha kumtetea hyo tabia yake mbaya ya kutelekeza wananchi mbunge mzima hashiriki kazi za kijamii yet unamtetea na ndio maana alizomewa mkasema ni waliotumwa kumbe ni wananchi wake, akirudi bungeni ajirekebishe na kuchaguliwa kwake ni vile tu watu haiipendi ccm damuni na siku ccm wakileta mgombea potential huyo mbowe hapati wananchi wanataka mabadiliko sio watelekeza Jimbo na warudi siku ya kutaka kura tu
 
Back
Top Bottom