Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema ikiumbuka si ni nzuri kwenu CCM au ?kesho mnakwenda kumbuka wallah
Wapo wanaccm wameomba kujiunga na Chadema kwenye mkutano huo ila WamekataliwaGhorofani 🐼
Ziara ya kuaga tayari kustaafu
"""Hao wananchi masikini ya mungu hawafahamu ya kuwa mtu anayeongea sana ni vigumu kuwaletea maendeleo"""Siku hizi Mikutano ya Chadema inaandaliwa kwa nusu saa tu , Muhimu kuwe na Spika na umeme tu , Watu ni kama wanasubiri tu Chadema itangaze Mkutano Wajae.
Shindeni mechi zenu na sisi tushinde mechi zetu 😂😂Wapo wanaccm wameomba kujiunga na Chadema kwenye mkutano huo ila Wamekataliwa
Hali mbaya mikutano ya chadema ilikua nyomi sasa huu ni mkutano wa familia maskini!Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe .
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 2944688View attachment 2944690View attachment 2944691
Kwanza watakuwa ni wajinga wakidhan mbunge ndio analeta maendeleo, well haijalishi chama anayotokea."""Hao wananchi masikini ya mungu hawafahamu ya kuwa mtu anayeongea sana ni vigumu kuwaletea maendeleo"""
Chadema si mchezo aisee,hongereniCCM lazima wajamb
Kwani trilioni 15 ya ccm walikula akina nani?Ruzuku ya Tsh. 2.7/- Mbowe umekula na nani? Hii fedha mtakuja kusema hapa kama sio hisani ni haki yenu, lakini mkumbuke kwamba baada ya uchaguzi mkuu 2020 mkatamka wazi kwamba, hamtochukua ruzuku kwani kufanya hivyo ni kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu 2020, ila 2023 mmefanya hivyo na mmekaa kimya..
Kwa hiyo wanapenda ngonjera bila kuhoji, masuala ya msingi, ndani ya kipindi chake kilichopita.Kwanza watakuwa ni wajinga wakidhan mbunge ndio analeta maendeleo, well haijalishi chama anayotokea.
Lakini uzuri machame hamna poyoyo jamii ina wasomi hadi vijijini. Si rahis