Huyu Mbowe huwa anafurahisha sana magenge-hilo nitampa.
Ukiulizwa ni jina gani apewe kama Msanii baada ya kung'atuka uenyekiti wautampa jina gani?
Amini usiamini Faye ni mshikaji wangu, huwezi kumfananisha na Mbowe kwa utulivu-sawa anakuwa na hisia kali majukwaani lakini sio hulka yake kama ilivyo kwa Mbowe.
Mbowe ni mkali hivyo majukwaani kama ilivyo mtaani. Itoshe, ni matumizi mabaya ya picha kama hiyo, haileti taswira nzuri(my point)
Ona hii hapa👇👀
Hip hop hoooray, ana rusha watu kuliko Roma Mkatoliki!🙌