Pre GE2025 Freeman Mbowe arejea Jimboni Hai, Umati wajitokeza Bomang'ombe kumsikiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani trilioni 15 ya ccm walikula akina nani?
Hesabu si zinakaguliwa na CAG, kuna ulaji ulionekana?
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha utapiamlo wako wa akili!
Hesabu za CAG bado za mwaka huu!
Usijibu kitu ambacho ni zaidi ya uwezo wako wa kufikiri.
Halafu uelewe kwamba ninaulizia kwa sababu mimi ni mlipa kodi inayokuja kutumbuliwa na Kina Mbowe&Company!
Hatuongei kwa kuropoka!
 
andiko refu ila ujinga mtupu
 
andiko refu ila ujinga mtupu
Ujinga kwa mpumbavu kama wewe!
Hayo ni maswali ambayo hamtapenda kuulizwa!
Wengi waliowahi kujaribu kuyauliza leo hatuko nao Duniani.
Akiwemo Marehemu Chacha Wangwe!
Tunaona na tunawafahamu majizi party two baada ya CCM!
 
Siku hizi Mikutano ya Chadema inaandaliwa kwa nusu saa tu , Muhimu kuwe na Spika na umeme tu , Watu ni kama wanasubiri tu Chadema itangaze Mkutano Wajae.
yaani hamna hoja mmebaki kupayuka tu kila sehemu mkimaliza mnaenda kulala yaani hakuna mnalolifanya la maana na watu wameshaanza kuwapuuza
 
mbowe sasahivi hana ushawishi wa kisiasa hakuna mu mwenye akili yake timamu anaweza kuacha kazi zake kwenda kumsikiliza
 
yaani hamna hoja mmebaki kupayuka tu kila sehemu mkimaliza mnaenda kulala yaani hakuna mnalolifanya la maana na watu wameshaanza kuwapuuza
Kila Mwanasiasa ni muongeaji , ndio maana kila anaposimama Samia unaona mic
 
Kuna mkutano wa CUF ulifanyika Iringa mwaka wa uchaguzi mwenye ile picha tafadhali
 
Kila Mwanasiasa ni muongeaji , ndio maana kila anaposimama Samia unaona mic
samia ana vitu vya muhimu vya kuwaambia wananchi wake sasa mbowe anawachosha tu watu kusikiliza vitu ambavyo havitekelezeki
 
Huyu Mbowe huwa anafurahisha sana magenge-hilo nitampa.



Ukiulizwa ni jina gani apewe kama Msanii baada ya kung'atuka uenyekiti wautampa jina gani?
Ulimuona Faye wa Senegal akitoa hotuba alivyokuwa serious? ni kuambiana ukweli tu.
Amini usiamini Faye ni mshikaji wangu, huwezi kumfananisha na Mbowe kwa utulivu-sawa anakuwa na hisia kali majukwaani lakini sio hulka yake kama ilivyo kwa Mbowe.

Mbowe ni mkali hivyo majukwaani kama ilivyo mtaani. Itoshe, ni matumizi mabaya ya picha kama hiyo, haileti taswira nzuri(my point)
Ona hii hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘€

Hip hop hoooray, ana rusha watu kuliko Roma Mkatoliki!๐Ÿ™Œ
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ