Pre GE2025 Freeman Mbowe arejea Jimboni Hai, Umati wajitokeza Bomang'ombe kumsikiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunakushukuru kwa picha kabambe
 
Mbunge wa Hai mwaka 2025 bye bye anatakiwa atafute kazi nyingine na siyo ya ubunge tena.
Hai chagueni mbunge kijana achaneni na hao vikongwe vizee au Mbowe au yeyote

Vyama vyote vya siasa Hai wekeni wagombea vijana.Hai wengi vijana wekeni kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…