Pre GE2025 Freeman Mbowe ashauriwa akichaguliwa amteue Tundu Lissu kwenye uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
sampuli ya wahojiwa ilikuwaje? Mbona habari nusu nusu? Walihojiwa wangapi kutoka hizo kanda tajwa? ni wangapi walisema watamsapoti Mbowe na wangapi walisema lisu. Hivyo hivyo ni kati wajumbe wangapi waliowakataa wote. Wachunguzi wa mambo, ni akina nani hao? hawana majina, Identity au ni anonymous?
Huenda ni propaganda tu hizi.
 
Huo utafiti unatia shaka kubwa. Siwezi kuongelea baadhi ya kanda maana sina uhakika. Lakini madai kuwa Mbowe anaungwa mkono zaidi na Kanda ya Nyasa, huo ni uwongo.

Wajumbe kutoka Kanda ya Nyada, wanaomwunga mkono Mbowe, hawawezi kufika 50%. Wajumbe wengi ambao wanafahamika, tena kwa majina, toka Kanda ya Nyasa, wanamwunga mkono Lisu, isipokuwa viongozi ngazi ya kata na wenyeviti wa mkoa.
Hata Kanda ya Magharibi ni uwongo
 
Mbowe akishachaguliwa tena hakuna hiyo kitu unasema. Alishaamua kwenda anavyotaka kuamini hilo angalia makamu wake wenje. Hapo kutakua na jipya lipi?
 
Molemo acha kutumika. Wenzako wengi walikuja na gia kama hii ya kwako lkn wametulizwa.

Lisu hakamatiki.
 
Hahaha mnatuchanganya sasa, wafuasi na washauri wa Lisu walisema akishindwa wataenda, ACT na CHAUMA.

Wanasema Lisu hana uchu wa madaraka, uongozi wa nini, awe mwanachama wa kawaida tu, au aende zake.

CDM haitambembeleza mwanachama.
 
Ni takriban wiki 3 zimesalia pekee kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kukalia kiti cha Chama kikuu cha Upinzani Tanzania Chadema.

Kumekuwa na mpambano mkali kwenye mitandao ya kijamii hasa nani anafaa kuchaguliwa kuongoza chama hicho katika uchaguzi wa Januari 21

Katika uchunguzi uliofanywa na Molemo Media Tundu Lissu anaonekana kuungwa mkono kwa wingi na makundi ya watu yaliyo nje ya chama hicho kama vile wanaharakati na Watanzania waishio nje ya nchi wanaojulikana kama Diasspora.

Freeman Mbowe anayetetea kiti chake anaonekana kuungwa mkono na wapiga kura wengi ndani ya chama hicho.Mpaka sasa ana uhakika wa kupata walau robo tatu ya kura zote zitakazopigwa kwenye mkutano mkuu.

Uchunguzi wa Molemo Media umegundua Freeman Mbowe anaweza kuzoa kura zote za Unguja na Pemba kutokana na kile wajumbe wanachodai matamshi tata ya Tundu Lissu kuhusu Muungano na kuonekana hapendelei sana upande wa Zanzibar.

Pia uchunguzi unaonyesha Freeman Mbowe anaungwa mkono na idadi kubwa ya wajumbe katika Kanda za Nyasa, Kusini, Kaskazini, Magharibi, Victoria na Kanda ya Kati.

Tundu Lissu anaonekana amejikita zaidi Kanda ya Serengeti na kwa uchache Kanda ya Pwani.

Uchunguzi zaidi uliyo huru wa Molemo Media unaonyesha wajumbe wengi wa mkutano mkuu wanaamini kumpigia kura Freeman Mbowe ni kukibakisha chama katika mikono salama na kumchagua Tundu Lissu ni kukiweka rehani kwa wanaharakati na watu waishio nje ya nchi.

Katika mahojiano yasiyo rasmi yaliyofanywa na Molemo Media pamoja na watu maarufu ndani ya Chadema, wamemshauri Freeman Mbowe endapo kama atachaguliwa kuwa Mwenyekiti basi amteue Tundu Lissu kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.

Wachunguzi wa mambo wanadai kumteua Tundu Lissu kuwa mjumbe wa Kamati Kuu kutasaidia kuimarisha umoja ndani ya chama hicho na pia kutaendelea kuwavuta wanaharakati waendelee kukiunga mkono chama hicho ambao wamekuwa wakikishabikia miaka mingi.

Yote kwa yote kilichobaki ni siku tu ya kupiga kura kwani inaonekana tayari idadi kubwa ya wajumbe wa mkutano mkuu wameshachagua upande wa kuunga mkono.
Acheni ubabaishaji haya mambo yapo given ,hata lissu akichaguliwa ,Mbowe atamteua kuwa kiongozi
 
Kanda. Mbowe. Lissu
Kaskazini. 45% 55%
Kati. 15% 85%
Kusini. 30% 70%
Pwani. 40% 60%
Nyasa. 10% 90%
Magharibi. 20% 80%
Victoria. 15% 85%
Selengeti. 10% 90%
Unguja. 30% 70%
Pemba. 35% 65%

Wamepoteana wanatafutana

Lissu amejiondoa mwenyewe kwenye uongozi CDM, ningekuwa Mbowe nisingempa hata ujumbe wa CDM kwenye shina.
Wanaoshauri hivyo ni ili kuleta mshikamano zaidi chamani na kuwaonyesha wanaharakati kwamba hawajatupwa
 
..wote wawili wanafanyiwa bullying, na propaganda chafu.

..lakini nikikaa pembeni na kutafakari Chadema ilipo, na inapopaswa kwenda, nadhani Tundu Lissu ni mtu sahihi.

..Ni matumaini yangu kwamba Wajumbe nao watafanya tarakuri ya kina, na kupiga kura kwa maslahi ya mapana ya chama na taifa kwa kumchagua Tundu Lissu.
Mnamfanya Lissu kaonekana mtoto sana... motives zake zinaonesha wazi hakutaka uchaguzi bali kuachiwa cheo kwenye sinia.... too low for him....
 
Kama atapita ni sawa,ila tuna mashaka atadhulumiwa ushindi wake
Atadhulumiwa na nani? Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.Nimejiridhisha baada ya kuzungumza na wasimamizi wa uchaguzi huo
 
Hata Mimi naamini hivyo,ila mashabiki ndio wanahangaika huku
Wakumbuke mashabiki hawapigi kura ni kama vile kujidanganya mtashinda uchaguzi wakati hamjajiandikisha kupiga kura
 
Back
Top Bottom