Pre GE2025 Freeman Mbowe ashauriwa akichaguliwa amteue Tundu Lissu kwenye uongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huenda ni propaganda tu hizi.
 
Hata Kanda ya Magharibi ni uwongo
 
Mbowe akishachaguliwa tena hakuna hiyo kitu unasema. Alishaamua kwenda anavyotaka kuamini hilo angalia makamu wake wenje. Hapo kutakua na jipya lipi?
 
Molemo acha kutumika. Wenzako wengi walikuja na gia kama hii ya kwako lkn wametulizwa.

Lisu hakamatiki.
 
Hahaha mnatuchanganya sasa, wafuasi na washauri wa Lisu walisema akishindwa wataenda, ACT na CHAUMA.

Wanasema Lisu hana uchu wa madaraka, uongozi wa nini, awe mwanachama wa kawaida tu, au aende zake.

CDM haitambembeleza mwanachama.
 
Acheni ubabaishaji haya mambo yapo given ,hata lissu akichaguliwa ,Mbowe atamteua kuwa kiongozi
 
Kanda. Mbowe. Lissu
Kaskazini. 45% 55%
Kati. 15% 85%
Kusini. 30% 70%
Pwani. 40% 60%
Nyasa. 10% 90%
Magharibi. 20% 80%
Victoria. 15% 85%
Selengeti. 10% 90%
Unguja. 30% 70%
Pemba. 35% 65%

Wamepoteana wanatafutana
Kanda. Mbowe. Lissu
Kaskazini. 45% 55%
Kati. 15% 85%
Kusini. 30% 70%
Pwani. 40% 60%
Nyasa. 10% 90%
Magharibi. 20% 80%
Victoria. 15% 85%
Selengeti. 10% 90%
Unguja. 30% 70%
Pemba. 35% 65%

Wamepoteana wanatafutana
 
Lissu amejiondoa mwenyewe kwenye uongozi CDM, ningekuwa Mbowe nisingempa hata ujumbe wa CDM kwenye shina.
Wanaoshauri hivyo ni ili kuleta mshikamano zaidi chamani na kuwaonyesha wanaharakati kwamba hawajatupwa
 
Mnamfanya Lissu kaonekana mtoto sana... motives zake zinaonesha wazi hakutaka uchaguzi bali kuachiwa cheo kwenye sinia.... too low for him....
 
Kama atapita ni sawa,ila tuna mashaka atadhulumiwa ushindi wake
Atadhulumiwa na nani? Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.Nimejiridhisha baada ya kuzungumza na wasimamizi wa uchaguzi huo
 
Hata Mimi naamini hivyo,ila mashabiki ndio wanahangaika huku
Wakumbuke mashabiki hawapigi kura ni kama vile kujidanganya mtashinda uchaguzi wakati hamjajiandikisha kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…