mkuruga Senior Member Joined Sep 13, 2024 Posts 193 Reaction score 154 Dec 31, 2024 #61 Lissu anaungwa mkono zaidi na Kanda ya kati na Kanda ya magharibi asa mikoa ya kigoma, tabora, shinyanga, Kagera na singida anakotoka pwani aungwi mkono sana nibaadhia tu ya wajumbe wanamuunga mkono
Lissu anaungwa mkono zaidi na Kanda ya kati na Kanda ya magharibi asa mikoa ya kigoma, tabora, shinyanga, Kagera na singida anakotoka pwani aungwi mkono sana nibaadhia tu ya wajumbe wanamuunga mkono