SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Maandamano yapo pale pale. Mashetani watekaji na wauaji mnahangaika sana, lakini hambadili chochote.
kwahiyo gentleman,
unampinga chairman wako Taifa,ambae ndie alietangaza kuwapo kwa maandamano hayo haramu ya Samia must go, na ndio huyo huyo alie yasitisha?πŸ’

Nasisitiza kwamba chadema kuona ombwe la uongozi. Kwasababu hakuna muunganiko baina ya wanachama, mashabiki na uongozi...

Mfano,
Mwenyekiti kasitisha maandamano hayo, mwanachama kaidi unakuja unasisitiza maandamano haramu yako pale pale 🀣

sasa nani ni nani hapo chadema?
 
OGOPA MATAPELI NA WAPOTOSHAJI MAANDAMANO YA AMANI KUDAI TAARIFA JUU YA WALIOPOTEA NA KUTEKWA YAPO PALEPALE.

NAOMBA TUZITUMIE HIZI SIKU MBILI ZILIZOBAKI KATIKA KUJIANDAA NA MLIO MBALI YA DAR ES SALAAM BASI MUWEZE KUSOGEA ILI IFIKAPO 23rd Sep 2024 TUWEZE KUTEKELEZA KILICHOPO MBELE YETU.

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI RAIS WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSANI! AMINA.
 
Ilikua ni suala la muda tu tangazo la sitisho la maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi nchini kutolewa, hasa baada ya hotuba nzito na bora zaidi ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa, na jumuiya ya kimataifa,
Hii habari jf walikanusha. Tokea jana kwenye kile kitengochap cha kufuatilia oama ni za ukweli or lah.
 
Kwa hiyo uongozi wa CHADEMA ungekuwa bora, maandamano haramu yangefanyika, au sio?
kwanza,
yasingekuepo kabisa,

Lakini pili yasingekua ya kuvuruga Demokrasia mathalani kwa slogan kama Samia must go, halafu eti yakaitwa ni maandamano ya Amani..

Lakini tatu na muhimu zaidi yasingekuepo wakati huu na kwahivyo viongozi visionary politically, wangeketi chini pamoja, na kutafuta majawabu muafaka ya kutatua changamoto zilizoko,

na kisha baada ya kupata suluhu na majawabu muafaka yaliyofanyiwa kazi na kubaini ukweli..

ndipo sasa,
viongozi makini huandaa maandamano ya kupongeza juhudi za kupatikana ukweli, kuliunganisha taifa na kuiimarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi πŸ’
 
Hii habari jf walikanusha. Tokea jana kwenye kile kitengochap cha kufuatilia oama ni za ukweli or lah.
ni muhimu sana, na ni vizuri zaidi wakajiridhisha na kumtafuta chairman Mbowe ambae alisema vizuri sana kwamba wameamua kusitisha maandamano yao na kwahivyo hayatakuapo πŸ’

au alikua anawafurahisha wanahabari na wajumbe wa TCD nje ya mikutano? na akaamua kunipotosha na mimi?πŸ’
 
Atoke tu hatufai.
kwa sisi wanadiplomasia waandamizi makini, tunasema na kushauri kwamba, kama kuna yeyote ambae haifai uongozini, basi aondolewe kwa njia za kidemokrasia katika sanduku la kura, lakini sio hiyo ya MBOWE MUST GO, hiyo ni fujo πŸ’
 
hebu eleza vizuri gentleman kwa faida ya wadau πŸ’

hayo maandamano haramu yaliyopigwa marufuku,

ni kwajili ya kuleta fujo, maafa na kuharibu demokrasia na Samia Must Go?

au ni hiyo ingine ya mwanzo umetaja?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…