SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Mbowe maandamano.png

Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Tunachokijua
Freeman Mbowe ni ni mwanasiasa maarufu nchini Tanzania. Yeye ni kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho ni chama kikuu cha upinzani nchini.

Baada ya taarifa ya kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu Ally Mohamed Kibao kilichotokea Septemba 8, 2024, chama cha CHADEMA kiliweka azma ya kufanya maandamano Septemba 23, 2024 kupinga utekaji na mauaji yanayoendelea nchini (Soma Hapa). Baada ya azma hiyo tukio siku ya September 13, 2024 Jeshi la Polisi lilifanya Mkutano na Waandishi wa Habari kukikataza chama hicho kufanya maandamano hayo (Soma hapa).

Kama alivyodokeza mdau mleta mada hii leo kupitia mtandao wa X (Twitter) katika akaunti hii na hii kumechapishwa taarifa iliyoambatana na video ikimuoonesha Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akitangaza uamuzi wa chama hicho kusitisha mpango wa Maandamano ili kutoa nafasi ya Viongozi wa dini kutafuta suluhu. Katika video hiyo yenye sekunde 33 Freeman Mbowe anaonekana akisema:

Tunaomba na kuwatangazia Viongozi wa ngazi zote za CHADEMA pamoja na Wanachama, Wabunge wakiwemo, Madiwani, Wafuasi na Mashabiki wetu Watanzania wote popote pale walipo, kwamba tunaahirisha mikutano na maandamano ya amani yaliyopanga kufanyika nchi nzima ili kutoa nafasi kwa viongozi wetu wa kiroho kutafuta suluhu ya jambo hili kwa kukutana na rais na serikali yake
Upi ukweli wa Video hiyo?
Ufuatiliaji wa kimtandao wa JamiiCheck kupitia mtandao wa YouTube kwa kutumia maneno CHADEMA yasitisha Maandamano tumepata majibu kuwa video hii si ya mwaka huu wala haihusiani na mpango wa Maandamano ya CHADEMA ya mwaka huu. Video hii ilichapishwa kwenye mtandao huo mara ya kwanza Agosti 31, mwaka 2016 (tazama hapa na hapa) huku ikieleza uamuzi wa CHADEMA kusitisha kwa mwezi mmoja maandamano ya UKUTA waliyoyapanga kuyafanya Septemba 1, 2016.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Nadhani jf wamekanusha hii habari muda sio mrefu
 
Tokea miaka ile ya vurugu za wale wa dini miaka ile, lile kasheshe la jwtz, siji kusogea kwenye maandamano.

Mnitukane, mniite majina yote magumu, ila nyie andamaneni, mie sipo.
 
Ilikua ni suala la muda tu tangazo la sitisho la maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi nchini kutolewa, hasa baada ya hotuba nzito na bora zaidi ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa, na jumuiya ya kimataifa,

Ni dhahiri hotuba ya Rais iliwanyongonyeza mno, hapangekuepo taasisi, chama cha siasa au mtu binafsi wa kuthubutu kukaidi, maelezo, onyo la rais, ushauri na mawaidha ya Rais, ambae pia ndie Amer Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania.

Kwa kiapo, Rais aliapa kulinda katiba na kulinda amani na utulivu wa waTanzania dhidi ya yeyote yule, ambae kwa namna moja ama nyingine anapanga au anajaribu kuhatarisha, kuharibu au kuvuruga umoja, amani na utulivu, eti kwa kuandamana kwa kwa amani, huku lengo la maandamano hayo likiwa ni kuvuruga Demokrasia ya Tanzania kwa mihemko tu.

Eti Samia Must Go, halafu eti ndio maandamano ya amani. Hiyo isingetokea.

Hata hivyo kusalimu amri ya Rais, kwa chama cha demokrasia na maendeleo chadema, ni miongoni mwa maamuzi magumu muhimu na ya kiungwana sana kisiasa, kwa mustakabali na uhai wa Chadema yenyewe.

Ni muhimu sana kwamba, pakitokea tatizo au changamoto ya kisiasa,kijamii au kiuchumi, ni muhimu kuketi chini kwa makini, kutafakari na kutafuta majawabu muafaka ya kutatua changamoto hiyo na sio kuanzisha tatizo lingine.

Kuna ombwe la uongozi wa juu kitaifa chadema. Ingekua sio sahihi kisiasa, kwa mtu kuamini eti maandamano hayo haramu yangefanyika chini ya yuongozi uliopo wa Chadema 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Ilikua ni suala la muda tu tangazo la sitisho la maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi nchini kutolewa, hasa baada ya hotuba nzito na bora zaidi ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa, na jumuiya ya kimataifa,

Ni dhahiri hotuba ya Rais iliwanyongonyeza mno, hapangekuepo taasisi, chama cha siasa au mtu binafsi wa kuthubutu kukaidi, maelezo, onyo la rais, ushauri na mawaidha ya Rais, ambae pia ndie Amer Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Kwa kiapo, Rais aliapa kulinda katiba na kulinda amani na utulivu wa waTanzania dhidi ya yeyote yule, ambae kwa namna moja ama nyingine anapanga au anajaribu kuhatarisha, kuharibu au kuvuruga umoja, amani na utulivu, eti kwa kuandamana kwa kwa amani, huku lengo la maandamano hayo likiwa ni kuvuruga Demokrasia ya Tanzania kwa mihemko tu.

Eti Samia Must Go, halafu eti ndio maandamano ya amani.

hiyo isingetokea.
Hata hivyo kusalimu amri ya Rais, kwa chama cha demokrasia na maendeleo chadema, ni miongoni mwa maamuzi magumu muhimu na ya kiungwana sana kisiasa, kwa mustakabali na uhai wa Chadema yenyewe.

Ni muhimu sana kwamba, pakitokea tatizo au changamoto ya kisiasa,kijamii au kiuchumi, ni muhimu kuketi chini kwa makini, kutafakari na kutafuta majawabu muafaka ya kutatua changamoto hiyo na sio kuanzisha tatizo lingine..

Kuna ombwe la uongozi wa juu kitaifa chadema. Ingekua sio sahihi kisiasa, kwa mtu kuamini eti maandamano hayo haramu yangefanyika chini ya yuongozi uliopo wa Chadema 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Heading v/s content.

JamiiCheck
 
Ma keyboard warriors waandamane wapi hao, hayo yanajua tu kupiga kelele mitandaoni tu ila kuingia field maoga balaa
 
Watu walishajipanga kusubiri kibaka yeyote apite mstari tuione mikia yao!
 
Mimi raia mwema na mzalendo, nimewaomba police waniazime tu RUNGU, niisaidie police katika kuwakanda migongo yenu kwa marungu, pale mtakapoandamana.😂😂
Sema kuwa wewe ni shetani aliyefuzu unayefurahia kumwaga damu za watu. Raia wema wote watafanya chochote, yakiwemo maandamano, kutetea uhai wa Watanzania.

Waandamanaji na Mungu.

Ninyi watekaji na wauaji na shetani wenu.
 
Ilikua ni suala la muda tu tangazo la sitisho la maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi nchini kutolewa, hasa baada ya hotuba nzito na bora zaidi ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa, na jumuiya ya kimataifa,

Ni dhahiri hotuba ya Rais iliwanyongonyeza mno, hapangekuepo taasisi, chama cha siasa au mtu binafsi wa kuthubutu kukaidi, maelezo, onyo la rais, ushauri na mawaidha ya Rais, ambae pia ndie Amer Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania

Kwa kiapo, Rais aliapa kulinda katiba na kulinda amani na utulivu wa waTanzania dhidi ya yeyote yule, ambae kwa namna moja ama nyingine anapanga au anajaribu kuhatarisha, kuharibu au kuvuruga umoja, amani na utulivu, eti kwa kuandamana kwa kwa amani, huku lengo la maandamano hayo likiwa ni kuvuruga Demokrasia ya Tanzania kwa mihemko tu.

Eti Samia Must Go, halafu eti ndio maandamano ya amani.

hiyo isingetokea.
Hata hivyo kusalimu amri ya Rais, kwa chama cha demokrasia na maendeleo chadema, ni miongoni mwa maamuzi magumu muhimu na ya kiungwana sana kisiasa, kwa mustakabali na uhai wa Chadema yenyewe.

Ni muhimu sana kwamba, pakitokea tatizo au changamoto ya kisiasa,kijamii au kiuchumi, ni muhimu kuketi chini kwa makini, kutafakari na kutafuta majawabu muafaka ya kutatua changamoto hiyo na sio kuanzisha tatizo lingine..

Kuna ombwe la uongozi wa juu kitaifa chadema. Ingekua sio sahihi kisiasa, kwa mtu kuamini eti maandamano hayo haramu yangefanyika chini ya yuongozi uliopo wa Chadema 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Naona umekuja kupima kama yapo au hayapo.
 
Wezi mnaishi kwa hofu Sana.
alieogopa ni nani sasa, chairman Mbowe alie itisha maandamano haramu na yeye mwenyewe kuyasitisha au uongozi mzima wa Chadema?🐒

ndio maana nasema chadema kuna ombwe la uongozi gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom